Mrembo anaona haya Jamani

hivi wewe una akili kweli?? Kwa nini kuandika maneno makali kama haya?? Acha maslogani yako ya zamani kuwa mtu akienda disko au kusikiliza mziki au akivaa kimini ni mhuni. Watu kama nyinyi ndio wabakaji wakubwa na hamfai kwenye jamii. Sasa joto lote la dar unataka dada wa watu avae ovaroli?? Fikiria kwanza kabla ya kubwabwaja upuzi wako hapa.

Wewe unazo mpaka umuulize mwenzio hivyo?
 
Kuna dem mmoja hivi alinambia kuwa jamaa ANASUKUMWA TOPE.
sijajua undani wake labda kama kuna mtu anafahamu chochote kuhusu huyu just atumwagie hapa

Mmh! this is a serious allegation! hivi hakuna mtu wakumtetea ben hapa jamvini?
 
Mmh! this is a serious allegation! hivi hakuna mtu wakumtetea ben hapa jamvini?

Ni mkasi huo...haukati shurti utiwe vidole nyuma ndio ukate mbele

scissors1brgb.jpg
 
Nyani usitetee ujinga, ile nguo ni fupi, i wish huyo angekuwa dadako uso wako ungekushupaa kama muuza mkaa ila kwa sababu humjui you can comment whatever.

jamani wadada tujiheshimu, kwenda sehemu za starehe umevaa upupu ni kujidhalilisha wewe mwenyewe, siyo familia wala wanaokuzunguka.
 
Back
Top Bottom