Mrembo amependeza sana

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
Sijui ni mgongo wazi, au ni staili ya vazi lake lenye nakshi za kipepeo, au .....

attachment.php
 
Attachments

  • mgongo.jpg
    mgongo.jpg
    41.6 KB · Views: 809
Sijaelewa!!sasa kapendeza nini??au kuwa tu mgongo wazi ndo kupendeza.labda shepu
 
Vazi gani hilo unaweza kupita mbele ya mkweo ..kama sio mambo ya kusingizia baba mkwe ananitongoza :confused2:
 
mbona mgongo uan weusi weusi flani hivi kama mabaka?

Inaonyesha ngozi yake haijaadhirika na madawa huo ni weusi wa asili unaelekea kwenye ubuluu huvi flash ya camera ndio imekufanya uone ni mabakamabaka. Mie nimependa livyo mechisha maana mpaka kufuli jeusi :glasses-nerdy:
 
Hapo sio kutoridhika na madawa, huwa hausuguliwi vizuri, huo weusi ni uchafu uliolimbikizwa!
 
Back
Top Bottom