Mrema yupo habari maelezo

Henry Kilewo

JF-Expert Member
Feb 9, 2010
899
1,084
Nipo hapa habari maelezo nimekutana na mh mrema wa TLP anajaza fomu na maelezo yake yanasema kuzungumzia hali ya halisi ya kisiasa nchini... Huku akichaguliwa magazeti ya kuyalipa kaambiwa ila TANZANIA DAIMA hapana sijui atazungumza vihoja gani kesho saa nne
 
Tatizo la CCM inanunua watu. Wajue hata Gadafi alinunua watu ila maji shingoni
 
umekosea anatakiwa apewe heshima yake ni Mhe, DK Augustino Lyatonga Mrema
 
huyu garicha anaanza tena kuja na ukiichaa wake, hapa lazima anakuja na kuuma na kupuliza kwani hatumjui
 
umekosea anatakiwa apewe heshima yake ni Mhe, DK Augustino Lyatonga Mrema
doctor wa wapi wewe??
udaktari wa heshima huwezi kuwekwa katika jina la mhusika hata siku moja.
Wanaofanya hayo wote ni kutokujua tu
 
twambieni kama jamii sasa ni mali ya washabiki wa chadema maana naona imekuwa web ya kumponda kila aliyetofauti na mawazo ya chadema why? this is no longer a home of great thinkers my friends it is too much.
 
Loh, ameshaanza kukimbilia media haraka hivyo?
Ni dr. mrema ama ni mrema yupi huyo?
 
twambieni kama jamii sasa ni mali ya washabiki wa chadema maana naona imekuwa web ya kumponda kila aliyetofauti na mawazo ya chadema why? this is no longer a home of great thinkers my friends it is too much.

Ndugu Yangu uwe mwepesi kusoma alama za nyakati, kinachotokea hapa siyo kwamba hii ni Forum ya Chadema ila imetokea watu wengi wamekuwa na mtiamo tofauti na CCM kutokana na matendo yake, ninajua kuna kipindi ulikuwa huwezi zungumza vibaya juu ya CCM ukaeleweka lakini sasa kweli imewaweka watu wa TZ huru. Wewe bado hujjaelewa hilo ila ninaamini kuwa taratibu utayafahamu hayo. Ila kuna shida moja tu kwa wale mafisadi na familia zao, marafiki na wale wote wanaoneemeka kwa namna moja au nyingine na ufisadi wao wamekuwa mstari wa mbele kupinga huu upepo wa ukombozi wa kweli.

Mungu Ibariki Tanzania!
Peeeeeeeeeeee....................oplessss!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
twambieni kama jamii sasa ni mali ya washabiki wa chadema maana naona imekuwa web ya kumponda kila aliyetofauti na mawazo ya chadema why? this is no longer a home of great thinkers my friends it is too much.

kumbe ulikuwa hujui uliza wenye hii JF utapata jibu. Humu ni cdm na ugala. Vinginevyo utakula matusi hakuna great thinkers kuna wapayukaji na watukanaji
 
iNA MAAN HANA HATA MSAIDIZI KATIKA CHAMA CHAKE? TUTASILKILIZA PUMBA ZAKE ATAKAPOZITOA.
 
twambieni kama jamii sasa ni mali ya washabiki wa chadema maana naona imekuwa web ya kumponda kila aliyetofauti na mawazo ya chadema why? this is no longer a home of great thinkers my friends it is too much.

usiogope kwani kila kitu kina msimu, huja na kuondoka kama mwanzo ccm ilipendwa kwa nini isichukiwe let it be naturally wala usiwalazimishe watu kuipenda ccm wakati kinakumbatia ufisadi.
My take: ukiwakataza wana jamii kuikemea ccm unataka mawe yafanye hivyo?
 
twambieni kama jamii sasa ni mali ya washabiki wa chadema maana naona imekuwa web ya kumponda kila aliyetofauti na mawazo ya chadema why? this is no longer a home of great thinkers my friends it is too much.

Nani akwambie. We unategemea uje na mawazo kama ya Kafulila halafu tunyamaze tu kwa vile una uhuru wa kuchangia. Lazima watu waku-critisize na hivyo uwe tayari kupambana nao. Lakini kama utakuja hapa na mambo ya mimi CCM or DCM then hapakufai. Wewe kata hoja hapa utaheshimiwa kwa mchango wako. Tulisha ona akina MKJJ wakishabikia CCJ sasa leo unataka kusema ni CDM kwa vile tu anacritisize serikali mbovu ya CCM. Hapa mimi naona wengi wetu ni wazalendo wa kweli na hatuna vyama.
 
Honorary Doctorate
A university awards an honorary doctorate to a person who has made a significant contribution to society or to the university itself. Honorary doctorates do not require the recipient to have any formal education or an education at the school itself, and those who receive an honorary doctorate can use the title of "Dr." if they wish. Adding "h.c." after the degree is a way to denote that it is honorary. For instance, Meryl Streep (an alumnus of Yale University), who received an honorary degree from Princeton University in 2009, can now refer to herself as Dr.h.c. Meryl Streep.

An honorary degree does not imply that the recipient is now allowed to practice the profession in which he or she received the degree or to apply to teach at any university, though some universities might honor them as academic degrees depending on their policies. An honorary degree is simply an honor, and it can even be awarded by nonacademic organizations such as churches. An honorary degree cannot be requested, and a person must be nominated by a committee to be considered to receive one.
 
Back
Top Bottom