Mrema TLP na picha ya aibu

NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,492
1,311
Picha ya huyu mbunge katika gazeti la mwananchi leo imemtapisha dada mmoja ofisini kwetu.

270073_10150245147449589_841309588_7058007_6092276_n.jpg
 
duh, sikuiona vizuri, mzee mzima kashusha udendanda!...... CCM C Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Ooooooh,nilisikia kwenye magic fm,wakisema inachekesha,nikahisi ni zile za kurara,kumbe ...........loooooo
alijigamba kuwa bungen hawabebi vyuma wala zege........
 
Ni aibu sijui anajisikiaje?mwenyewe amechoka sijui kwa nini asistaafu hizi kazi akabaki kuangalia vijana wanafanyaje kazi na kuwashauri na hili ndio tatizo la wazee walioko kwenye vinafasi wanadhani watoto walio walea hawajakua, wanang'ang'ania wanakufa vibaya, ni vizuri wazee wakawaacha vijana wachukue nafasi wao wabaki washauri tu. au tuseme hawakujiandaa kuwa wazee kwa hiyo bado wanatafuta maisha?
 
Akikurupuka toka kwenye hizo njozi ni kusifia utawala wa JK na kulaani maandamano. Hana habari wenzie wamesema nini awali. Poleni watu wa Vunjo kwa kujipatia Kioja. Hapo sio Mrema aliyelala ni VUNJO imelala.
 
Kama utapata gazeti la Mwananchi tarehe 30/06/2011 ukurasa wa mbele kabisa basi utakutana na picha ya muheshimiwa Augustino Lyatonga Mrema mbunge wa jimbo la Vunjo akiwa amelala na udenda ukiwa unamtoka kwenye kikao cha bajeti bungeni. Kweli kwa mtazamo wangu mimi binafsi siungi hoja ya wapiga picha kutoa picha kama hii hata kama ni uhuru wa viombo vya habari huku ni kumzalilisha mtu, gazeti la Mwananchi tena wanasema gazeti la watu makini huku sasa ni kuvuka mipaka naomba wanaJF wenzangu mimi sio mwanachama wa TLP naona ifikie wakati pale bungeni wapiga picha wawe wanapewa mipaka ya kupiga picha. Nawasilisha lakini siungi hoja picha kama hizi au tulifananishe gazeti na magazeti ya udaku?
 
Back
Top Bottom