Mrema ni m/kiti wa halmashauri za klm tu?

Jahom

JF-Expert Member
Aug 26, 2008
351
32
Inawezekana ndo ameanzia huko kwanza. Lkn kuna maeneo yenye matatizo zaidi badala ya kuonyesha ukabila zaidi.
 
Ukabila umeuwaza wewe... Point kuwa kuna maeneo yenye matatizo zaidi, sidhani kama wewe unaweza kuwa na taarifa kuliko kamati yenyewe. Lakini kuna tatizo gani Mkuu? Mbona tena atakakoenda baadae ndiko atafanya kazi nzuri zaidi kwani atakuwa ameshapata uzoefu wa kutosha wa jinsi ya kupambana na taarifa 'feki' za wakurugenzi?
 
Kichaa kapewa rungu...! This is a golden opportunity for Mr Lyatonga to make a strong comeback in the political limelight...
 
Inawezekana ndo ameanzia huko kwanza. Lkn kuna maeneo yenye matatizo zaidi badala ya kuonyesha ukabila zaidi.

Unataka akae mbali na KIMBEGE? anahitaji kugawana anachopata na wapiga kura wake kwa kuwanunulia kitochi
 
Kaanzia kwao ili atakapowashukia wengine wasiseme anawaonea
 
Anajua mafanikio yake yataanzia nyumbani then kwingine, jamaa atafanya kila kitu ili CV yake izidi kupanda
 
Back
Top Bottom