Mrema:michango ya makanisa na misikiti sababu ya kuongezeka posho za wabunge

babad

Member
Feb 9, 2011
95
13
Siku moja hapahapa JF nilionya juu ya viiongozi wa dini kualika hawa wanasiasa kwenye harambee za uchangiaji sasa leo asubuhi akihojiwa Channel 10 Mheshimiwa Mrema ameelezea umuhimu wa posho kupanda kwa kisingizio cha kutoa michango ya ujenzi ambapo anasema ameshachangia zaidi ya Millioni 7 kwa ajili ya ujenzi wa misikiti na makanisa aliyoyataja na bado anadaiwa.
Kazi kwenu viongozi wetu wa dini kwani inaelekea mmekuwa mnawaalika makusudi kuwakamua
 
Ni upotoshaji wa hali juu kuwaambia watz kwamba posho zimepanda ili kutoa kwa makanisani/misikitini na kwa wapiga kura. Mbunge si mfadhili wa Jimbo lake - na hawezi hilo. Kazi za mbunge zinajulikana kijimbo na kitaifa. Hilo la kuwa mfadhili wa Jimbo halipo.
 
hivi kuna wananchi waliamka asubuhi, wakaenda kwenye vituo vya kupigia kura na kumchagua? khaaaaaaaaa hao wananchi wajitazame loh...............
 
mrema is a ghost walking the earth,he died long ago,dead man tells no tale.
 
Siku moja hapahapa JF nilionya juu ya viiongozi wa dini kualika hawa wanasiasa kwenye harambee za uchangiaji sasa leo asubuhi akihojiwa Channel 10 Mheshimiwa Mrema ameelezea umuhimu wa posho kupanda kwa kisingizio cha kutoa michango ya ujenzi ambapo anasema ameshachangia zaidi ya Millioni 7 kwa ajili ya ujenzi wa misikiti na makanisa aliyoyataja na bado anadaiwa.
Kazi kwenu viongozi wetu wa dini kwani inaelekea mmekuwa mnawaalika makusudi kuwakamua

Huyu mzee kweli ni mgonjwa. Kwani wananchi wa kawaida nani anawapa posho ili wachangie michango mbalimbali wanayochanga? Heri afe ili tufanye uchaguzi mdogo Vunjo. Ameniharibia mood!
 
hivi we unafikiri mrema ana akili timamu? kazeeka hadi utumbo yule .Waswahili wanasema ngombe hazeeki maini ila mrema kazeeka akili maini na ngozi!
 
Back
Top Bottom