Mrema,mbowe,hamad shariff,mbatia gombeeni urais;tuachieni ubunge

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
Hili limeanza kuwashtua wanachama wengi wa upinzani baada ya kuona
sasa kila mwenyekiti anataka kwenda kugombea ubunge jimboni mwake
mrema ameanza kukimbilia moshi mjini,mbatia nae kinondoni,mbowe uwii sasa hamad abaki mwenyewe jamani,..tuachieni na ubunge wengine nyie chezeni na Urais,..na sie tule hizo posho za ubunge jamani,...namnukuu mwanachama mmoja wa TLP.....
Kazi ipo 2010
 
Hawa washakuwa used urais wasigombee tunataka wawe na umoja ili wamteue mmoja aweze kuwaondoa madarakani hawa mafisadi!
 
Mwanahalisi,
Urais ni kiti kimoja tu. Heri tuwe na wabunge wengi wenye uelewa kuliko kujipanga wote kugombea kiti kimoja na usiposhindwa umepoteza miaka mitano.
 
Mwanahalisi,
Urais ni kiti kimoja tu. Heri tuwe na wabunge wengi wenye uelewa kuliko kujipanga wote kugombea kiti kimoja na usiposhinda umepoteza miaka mitano.

ni kweli kaka tuwaombee mungu
 
Hili limeanza kuwashtua wanachama wengi wa upinzani baada ya kuona
sasa kila mwenyekiti anataka kwenda kugombea ubunge jimboni mwake
mrema ameanza kukimbilia moshi mjini,mbatia nae kinondoni,mbowe uwii sasa hamad abaki mwenyewe jamani,..tuachieni na ubunge wengine nyie chezeni na Urais,..na sie tule hizo posho za ubunge jamani,...namnukuu mwanachama mmoja wa TLP.....
Kazi ipo 2010

Smart move on their part. They know the probability of winning an MP sit is higher than that of becoming president. So now they see that it is better to get an MP's pay instead of running for something they will never get.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom