Mrema & Lowassa: Your Comment

Calnde

JF-Expert Member
Oct 7, 2008
1,373
277
attachment.php

Simpatii picha Mh Mrema akiwa na Lowassa. Sijui walikuwa wanaongea nini, but viatu vya mrema, mh! sijui alitaka kumechisha?

Mrema&Lowassa.jpg
 
Mrema: "nimesota sana mpaka kuingia tena mjengoni, nlikuwa na usongo wewe"
Lowassa: "wacha bwana!"
 
Yaani huyu ni mzee wa kichaga kabsa,haya mambo nimezoea kuyaona kule uchagani huyu mzee analeta huku mjini,kweli kaniacha hoi na hizo raba zake.....
 
aise lowasa hebu nipatie hapo milioni 10 bwana, unajua watu wanakusema wewe ni fisadi lakini wao ndo mafisadi, usikubali kung'ooka wewe bila kikwete unajua sisi moshi tutakucheka sana? halafu eti lowasa nasikia ile chenji ya radar inarudishwa si na sisi wapinzani mtugawie kidogo yahani hela yote mtamaliza CCM tu aise? tupeni na sisi ili tunyamaze hasa yule slaa aise.
 
mi nakwambia usitoo usitoke, komaa hapohapo chalii wangu, mwaka huu hakuna rangi wataacha ona aisee.
 
wagonjwa wa kisukari wanashauriwa kuvaaa raba from medical chember

sijakuelewa. wanapa ushauri huo kutoka medical chamber au wanashauriwa wavae raba wakiwa wametoka medical chamber? Na inakuwa na msaada gani? Tuelimishane!
 
sijakuelewa. wanapa ushauri huo kutoka medical chamber au wanashauriwa wavae raba wakiwa wametoka medical chamber? Na inakuwa na msaada gani? Tuelimishane!

Wagonjwa wa kisukari wanashauriwa wavae viatu vipana na vilaini (kama sandals au raba) ili kulinda miguu yao isipate m'bano ambao unaweza sababisha michubuko..kwani hiyo inaweza pelekea kupata maambukizi ya bakteria (hasa gram -ve) na kupata vidonda sugu (ulcers) au hata condition inaitwa 'cellulitis', na mara kadhaa imepelekea wengi wao kupoteza viungo (kukatwa mguu, vidole) kwa sababu ya 'gangrene'.

Pamoja na hilo, mheshimiwa amejitahidi kumatch'isha' na kupendeza...
 
Hapo nimejifunza kitu! Thanks a lot!
 
"aisee meku lowasa!!! hata mimi nilipata misukosuko saidi yako...kama unataka kuingia lichama...ingia lichadema, LAKINI MIMI SIKUFUNA KAMA ULIFOFUNA WEWE." Mrema. "rafiki....nimeenda kutubu Nijeria kwa yule mchungaji wa kondoo wa bwana,"Lowasa.
 
Nyie mnaombeza Mrema hamna kabisa sense of style, (besides kisukari) Mrema kawashinda ki sana tu:

armanispring2009menscollection7.jpg
 
Back
Top Bottom