Mrema haishi vituko - Akihutumia kwenye mvua Morogoro

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
04_11_2kj0q7.jpg

Mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labour (TLP), Augustino Mrema ambaye pia ni Mbunge wa Vunjo, akihutubia wananchi wa Manispaa ya Morogoro kwenye viwanja vya Fire mjini humo, wakati wa mkutano kujadili amani na kuienzi ulioandaliwa na uongozi wa taasisi ya Alshabab Islamic Daawah ya Morogoro
 
Hapo,$ za osama zinaongea, hata angeambiwa avae msuli angevaa tu.
 
Back
Top Bottom