Mrema awaponda CHADEMA live Bungeni

kama maandamano anapondaje cdm mbona cuf na vyuo wanaandamana pia! but mrema ni BANGE zinamsumbua!
 
Hana jipya siunaona anasema nayeye anastahili kulipwa posho yake kwakuwa alikuwa Naibu waziri? Alikuwa anatafuta huruma ya ccm ili imlipe, ila kiukweli Mrema nimganga njaa
 
Anasema suala la amani ni la wote kama hatuitaki serikali tusubiri uchaguzi sio maandamano
 
Mrema has entered history books before his death. It is very sad because he looks and acts like a dead man
 
huyu ameshaeleza kwa nini anaitetea serikali. Amesema anaomba apewe mafao yake ya unaibu waziri mkuu hata asilimia 20 tu. Pia amesisitiza ili aendelee kutetea serikali apewe huo mshiko wake na hapa inaonyesha wazi kuwa Mrema ni njaa zimesababisha anakuwa kama chizi na kuamua kulamba viatu vya CC-Magamba
 
Ili aendelee kutangaza amani na kupiga vita maandamano anaombwa alipwe mafao ya unaibu waziri hata 20% tu.
 
Hivi ni mbunge wa kuteuliwa au kuchaguliwa? Mi naona analeta ucheshi tu bungeni anamdai Pinda wam'treat' kama naibu waziri mkuu mstaafu japo kwa 20% badala ya 80% ili aweze kutetea 'nji' hii hapa alisita kidogo nadhani alitaka aseme ili aweze kutetea CCM, Kaunga mkono hoja.
 
Mimi naamini Mrema anapaswa kupumzika nyumbani aachane na ulingo wa siasa, maana kila wakati akipata nafasi hueleza kuwa aliwahi kuwa naibu waziri mkuu, haitusaidii tena Watz............. Kwa sasa hawezi tena siasa za mkikimkiki........... hayo waachie chadema...........
 
Naunga mkono hoja.
 
Mrema si anatoka TLP? wanajuana hawo CDM na TLP wote si wameolewa na CCM Arusha
 
Hana jipya siunaona anasema nayeye anastahili kulipwa posho yake kwakuwa alikuwa Naibu waziri? Alikuwa anatafuta huruma ya ccm ili imlipe, ila kiukweli Mrema nimganga njaa

Hana jipya......njaa ndiyo inamsumbua, bado kitambo kidogo atarudi chama cha mafisadi - CCM, sisi watanzania tttadai haki zetu mpaka kieleweke........serekali hii haina huruma na watanzania, wanaangaliana wao tu, Mungu aliweka utajiri wa nchi hii kwa ajili ya watanzania wote nas si kwa ajili ya wachache!!!
 
Huyu mrema cjui anavutaga bangi au vp,maana me cmuelew kabisa.
 
Back
Top Bottom