Hongera kwa kusema ukweli, tunajua CDM wana chuki nawe kwani Uenyekiti wa kamati ya bunge ya serikali za mitaa CDM wali ililia muda mrefu sana, bunge kwa kutumia busara wakawachinjia baharini. Sasa wamebakia na uwaziri kivuli ambao bungeni hauna meno.
Ww mwenyewe hapo una chuki na Mrema pamoja na chama chako ! kwani Mrema hata km kuna jema kama hili analisema, ww unapinga kwa husuda zenu za kutaka madaraka
Hongera kwa kusema ukweli, tunajua CDM wana chuki nawe kwani Uenyekiti wa kamati ya bunge ya serikali za mitaa CDM wali ililia muda mrefu sana, bunge kwa kutumia busara wakawachinjia baharini. Sasa wamebakia na uwaziri kivuli ambao bungeni hauna meno.
Wadau,
Mwenyekiti wa TLP Augustine Mrema ameyalaani vikali maandamano ya Chadema yanayoanza kesho nyanda za juu kusini. Mrema anadai kwamba CHADEMA wanaandamana kudai mambo ambayo tayari serikali inayafanyia kazi..ametoa mfano wa katiba mpya.
Mrema ameenda mbali zaidi na kusema kwamba CHADEMA wanataka kuvuruga amani na kuleta uchochezi ili nchi isitawalike. Amewasihi polisi wawazuie CHADEMA na kuvuruga mikutano na maandamano yao.
Mrema anajidai kusema kwamba eti yeye ndiye mwenye uchungu na nchi hii na ndio maana anakamata viongozi wa halmashauri wanaoendekeza vitendo vya ufisadi.
Hakika kila mtu aliyemsikia Mrema amejiuliza mara mbilimbili yeye ni nani hata aisemee serikali????

Nakiri kabisa kuwa hii nimeipendaHeshima ya mwanaume ipo kwenye matumizi ya vichwa vyake viwili kimoja hupumzika uzee ukimtawala na cha pili huendelea kulinda heshima sasa huyu mzee vyote vimeharibika
Njaa bora ibaki mfukoni na tumboni.......ikiingia kwenye ubongo haya ndio madhara yake:A S 114: