Mrema aitolea uvivu CHADEMA

<br />
<br />
kuwa mtu huru ndio tiketi ya kuwa MAMLUKI hata kwa chama chake kwanini alimuunga mkono JK kwenye uchaguzi mkuu ilhali chama chake ambacho yy ni mwenyekiti kilikuwa na mgombea urais, ww kama unaona Mrema yupo timamu basi utakuwa unamatatzo makubwa kuliko huyo Mrema nasema haya nikiwa neutral sifungamani na upande wowote kisiasa.


True, hiki ni kichekesho maana kama anamuunga mkono si angekuwa CCM huko huko, na ni yeye (Mrema) anayemuunga mkono au chama chake
 
Magwanda siku zote huwa hampendi kuusikia ukweli.

Vipi, miyeyusho ya Arusha mbona mnaikalia kimya? Au ni halwa tu hata mkipigwa changa la macho?

Pole na Mfungo
jaribu kuzipa ushirikiano akili zako, kwa kuweka ushabiki pembeni
 
kweli nabii hakubaliki kwao. mrema kachagulia na watu elfu 30 awe mbunge, wananchi wamemwamini. wa sauzi wakaona historia yake nzuri wakampa dr. wa heshima. wa tz tuna matatizo gani kazi kuponda tu. embu jiulize we baba yako kafanya nini mpaka unapata jeuri ya kumbeza mrema, hafiki hata robo ya mrema. jiangalie kwanza mwenyewe...
<br /> <br / khaaaa!,we jamaa wewe mbona wa hovyo hvyo?. Baba ze2 hawajafanya chochote kwa kuwa wanajua hawawez kufanya chochote,,ni bora kutofanya kuliko kufanya upuuzi kama anaoufanya huyo dr kinyaaa.
 
Mrema ni mfano wa viongozi wa sasa wa tanzania, tusitegemee jipya toka kwao. Wamefanya maisha ya watanzani kama mchezo tu, tanzania ya leo ni mbaya kuliko ya nyerere ya 1985, tusiangalie magari tuliyonayo, nyumba, au upatikanaji wa bidhaa madukani, hali ya ichumi ni mbaya sanaaaaa
 
Back
Top Bottom