Mrejesho nyuma wa waliorudisha hela ya mwenge

jsenyinah

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
249
338
Watu waliramba posho, Magari yalijazwa mafuta ya kutosha kwenda Simiyu kuhudhuria uzimaji mwenge na kumbukumbu ya kifo cha Mwl Nyerere ambacho kitaifa kwa mwaka huu ilifanyika mkoani Simiyu 14.10.2016.

Kiasi gani kilishagawiwa kwa ha maafisa/madereva na kiasi gani kimesharudishwa kwa ajili ya kuhudumia mambo mengine ya kijamii?


Msaada tafadhari
 
5c63b2fee5ab97def939f2d30ad83ce1.jpg
 
Back
Top Bottom