Mrejesho: Nimepata mpenzi JF, mliohoji why on JF

Mpwa hongera sana ila umekuwa mkali sana hana Napata mashaka
 
Hongera mkuu.

Ana muonekano mzuri huyo uliyempata?
Hahahahaa umenikumbusha clip moja jamaa anasifia wazazi wake wamemchagulia mchumba mwenye tabia njema....rafikiye akamwambia sawa ana tabia njema je? ana tako???
 
Wakuu,

Mtakumbuka hivi juzi nilipost uzi kuwa namtafuta Eva wangu. Mungu sio Juma Nature, nimepata!! Nilikuwa creative kwenye Post yangu ili nistand out, nisijumuishwe kwenye wahuni wanaotafuta tu casual dates.

Sasa kuna mapopoma walitoka povu eti why on JF, mtaani sijaona? n.k. Hawajui tulionao mtaani au huku uraiani ndio hawa hawa walioko JF, so it makes no difference. Kwahiyo mmeumbuka, Naomba mtu akisema anatafuta, muacheni apate.

Ova.
True na dunia I nachange siku za mbele mtaani humpati
 
kupata mke ndani ya siku tatu si mchezo hongera broo.ila sijui mumewezaje kuyatumia. masaa 72 kufikia muafaka mpaka uje kutoa ushuhuda hapa.nahis kipo kitu nyuma ya pazia
Mkuu kapata second hand, hao ni rahisi tu kupata na huwa wanapretend sana tabia hadi unaamini ni mke mwema sasa subiri akimgeuka
 
Mkuu kapata second hand, hao ni rahisi tu kupata na huwa wanapretend sana tabia hadi unaamini ni mke mwema sasa subiri akimgeuka
hhhhh hapa ndo atajua umuhim wa kucheza ile michezo ya kibaba ba mama enzi za utoto.maana nahisi huyu hajapitia hayo hawajui hawa viumbe hata kidogo.atakuja kukimbia nyumba yake mwenyewe.mke si hawara au kimada.mke ni zaid ya dada bor ukosee kujenga utabomoa kuliko ukosee kuoa.
 
Wakuu,

Mtakumbuka hivi juzi nilipost uzi kuwa namtafuta Eva wangu. Mungu sio Juma Nature, nimepata! Nilikuwa creative kwenye Post yangu ili nistand out, nisijumuishwe kwenye wahuni wanaotafuta tu casual dates.

Sasa kuna watu waliosema eti why on JF, mtaani sijaona? n.k. Hawajui tulionao mtaani au huku uraiani ndio hawa hawa walioko JF, so it makes no difference. Kwahiyo mmeumbuka.

Naomba mtu akisema anatafuta, muacheni apate.

Ova.

WEKA PICHA YAKE HAPA,
NI KWA NIA NJEMA TU MKUU.
 
Hongera mkuu.

Ana muonekano mzuri huyo uliyempata?
Hiyo mionekano mnayotafutaga kwa mabinti wa wenzenu utafikiri na nyie mna mionekeno mizuri mi naona haina maana!!!! Mwanaume unakuta una sura ngumu mtu akikuangalia mara moja imetoka hataman tena eti nawe unatafuta muonekano ptuuuuu
 
Hiyo mionekano mnayotafutaga kwa mabinti wa wenzenu utafikiri na nyie mna mionekeno mizuri mi naona haina maana!!!! Mwanaume unakuta una sura ngumu mtu akikuangalia mara moja imetoka hataman tena eti nawe unatafuta muonekano ptuuuuu

Mimi sina sura ngumu mkuu.

Kama vipi njoo PM tafadhali.
 
Haya mambo yanahitaji moyo, nilipokuwa Moro tuka_chat na mtu hadi kwenda kuonana. Kumbe alikuwa anasoma mwaka mmoja nyuma yangu, course ile ile nisomayo pia tunatoka mkoa mmoja. Kwenye match za mpira zashule secondary mkoani mbeya tulikuwa tukionana japo hatukufahamiana maana alikuwa anasoma shule nyingine. Tumeonana tunafahamiana zaidi nikachoka, tangu siku hiyo sikurudia hiyo kazi ya mitandaoni. Sister kawa rafiki wa kawaida huwa tunapeana hi atleast once per 3 months
 
Mimi nilisha kutanaga na vempaya demu ana sura chachu kama mnywa gongo nika sema sitaki tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom