Mrejesho kuhusu kuajiriwa Benki ya Posta

Ujumbe

Ujumbe umeuelewa unachotaka kukosoa2 nyie ndo mlioshiba hamtambui mwenye njaa kama huna cha kuchangia pita kushoto watu tunahaha ajira
Ndugu heshimu sana akwambiaye ukweli hata kama ni mchungu, kabla hujalalamika hebu kubali kukosolewa sababu hakukupunguzii utu wako.
Jifunze sana kujishusha inapobidi sababu vitu kama uandishi ni vya kuzingatia mno kuliko unavyofikiri kwa sababu mtu akisoma mfano hilo bandiko tayari anakuengua mapema tu, ndio maana huwa watu wanashauriwa wawatafute walio vizuri wawachekie CV na barua zao.
 
Nadhani wewe, ni wale ambao mnaamini kufaulu katika muandiko,pole ila nadhani ujumbe uemkufikia, na nadhani pia wewe ni mwenye shibe, nikujuze tu kuwa mda wwte atakapo shetani unaweza kuwa mwenye njaa na ukawa unaelewa sana miandiko iliyokosewa, ujumbe uliomo ndani. adui mwombee njaa.
 
Hapana huwezi jua mtu inampain kias gani juu ya kutuma application lakini hajibiwi MPE ushaur c kujikita kwenye ukosoaji kwan paper hili?kumbuka smartphone ukitype neno linatokea jingine unaweza kua ujaliona ndo mana kuna typing error. Mcwe mnaingia jukwaa la AJIRA kujoki watu kumbuka iyo kazi ni dhamana2 anytime unaiacha!
 
asantye

Hapana huwezi jua mtu inampain kias gani juu ya kutuma application lakini hajibiwi MPE ushaur c kujikita kwenye ukosoaji kwan paper hili?kumbuka smartphone ukitype neno linatokea jingine unaweza kua ujaliona ndo mana kuna typing error. Mcwe mnaingia jukwaa la AJIRA kujoki watu kumbuka iyo kazi ni dhamana2 anytime unaiacha![/QUOT
asnte kwa kumsahuri mburula huyu aliye ajiriwa na kusaau kuwa ipo kesho.ngoja yakukute, utakuwa unaingia jf, nafasi za kazi kwa adabu
 
uandishi wako ni wa ovyo sana! ulikuwa unaomba kazi gani? kwa uandishi huu sidhani hata kama barua ya maombi uliyotuma huko ilikuwa na mvuto japo wa kuku short list! yawezekana kwa maajabu ukawa ni graduate wa degree ya kwanza mweeee! puuuuuuu! kazi ipo!
 
Nadhani wewe, ni wale ambao mnaamini kufaulu katika muandiko,pole ila nadhani ujumbe uemkufikia, na nadhani pia wewe ni mwenye shibe, nikujuze tu kuwa mda wwte atakapo shetani unaweza kuwa mwenye njaa na ukawa unaelewa sana miandiko iliyokosewa, ujumbe uliomo ndani. adui mwombee njaa.
Elewa kuwa uandishi na muandiko ni vitu viwili tofauti ndio maana huwa screening inapofanywa wanaangalia uandishi na sio muandiko, wakati mwingine mtu hawi shortlisted kwa sababu uandishi wa CV na barua unakuwa mbovu, ndio maana huwa watu wanatafuta wataalamu kuziweka vizuri, so hiyo pole jipe mwenyewe.
 
Hapana huwezi jua mtu inampain kias gani juu ya kutuma application lakini hajibiwi MPE ushaur c kujikita kwenye ukosoaji kwan paper hili?kumbuka smartphone ukitype neno linatokea jingine unaweza kua ujaliona ndo mana kuna typing error. Mcwe mnaingia jukwaa la AJIRA kujoki watu kumbuka iyo kazi ni dhamana2
anytime unaiacha!
Umetafsri tofauti hapo ni joke gani niliyoifanya?
Nimjoki mtu what for?
 
Si ajabu wewe nae ni graduate wa 'Chuo Chikuu'.

'Wasomi' wetu sijuwi mlienda kusoma nini huko vyuoni. Ama kweli elimu ya bongo ni supana mkononi !

Kwa uandishi wako huo, utachomeshwa mahindi mpaka uzeeke.

-Kaveli-
Supana
 
Elewa kuwa uandishi na muandiko ni vitu viwili tofauti ndio maana huwa screening inapofanywa wanaangalia uandishi na sio muandiko, wakati mwingine mtu hawi shortlisted kwa sababu uandishi wa CV na barua unakuwa mbovu, ndio maana huwa watu wanatafuta wataalamu kuziweka vizuri, so hiyo pole jipe mwenyewe.

Hacha porojo, porojo, mperekee, jogoo nyumbani wkwenu. mwalimu utakuwa wewe, kuku wa mjini?
 
Title: umeandika"mrejesho kuhusu kuajiliwa bank ya posta"
content: inaonyesha ni confirmation ya kupokelewa maombi yako ya kazi

Gharama ya bando ya kutuma post 1000 ingetosha kabisa kuanzisha biashara tena sshiv ungekuwa mbali sana.jiongeze aisee
 
Karibu, Mr Clean Cosmetics, shop, duka kuu, la kuzuia kunuka kwapa na mdomo, kwa wanaume wa DAR, na wasichana wa Dar, tupo kwa mtogole karibuni sana,
 
Kwa Kiswahili kibovu kama hicho ulichoandika hapo Yesu atarudi mara ya pili na hata kuwa shortlisted tu usitegemee. Umeandika kama mtu aliesoma elimu ya memkwa
 
Mkuu huu Uzi utoe mana watu wamebez kwenye ukosoaji zaidi kuliko kujadili mada husika,delete it plz!
 
Mnaelekezwa bado mnaleta ubishi, nani ataajiri mtu asiyejua hata kuandika lugha yake? Sasa utakuta kwenye cv umeandika kiswahili ni native language, sasa huoni kwa uandishi wako lazima watilie mashaka huenda wewe sio Mtanzania kabisa.
Mkubali kukosolewa na mkijifanya lugha sio kigezo basi jiajiri mwenyewe. Tatizo letu ni ubishi hata pale tunapokosea tunajifanya tuko sahihi wakati makosa hayo ndio yamekufanya uombe kazi mara 1000 na kuambulia patupu
 
Back
Top Bottom