Mramba na wenzake wanaonewa

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Mramba na wenzake wanashtakiwa kwa makosa ya abuse of office na makosa yako ni kutofuata taratibu. liumba nae ndilo lilikuwa kosa lake. ukisoma hukumu ya dowans kulikuwa na ukiukaji mkubwa wa sheria. ninachoshangaa ni kwanini hawashtakiwi. kama nchi haiendeshwi kwa haki hatutafika
 
Sema kuna double standard sio wanaonelewa. Kama walifanya kosa wanastahili kushtakiwa.

Tunaweza kulalamikia kutochukuliwa hatua wengine lakini hiyo haiwafanyi hao kuwa wameonelewa!!
 
Back
Top Bottom