Mramba, Mrisho, Mgonja, et al.. chunguni?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
Hawa watu wanne ??? nina hamu sana ya kujua walipo sasa hivi.. Kwani nimesikia king'ora kimelia na kuna dalili mmoja wao akawa ametoweka kimoja! Lakini kati ya wote ningependa kujua Basil Mramba leo hii yuko wapi, kuna mtu anamtafuta sana...
 
Habari hiyo kubwa naona sasa imefika zamu ya Big guns,Hii habari ya EPA itaitingisha serikali ya Bwana Kikwete....Tungoje na jina la Mheshimiwa kutajwa huko Mahakamani (kwa kupitia Deep Green walichukua pesa BOT kwa ajili ya General Election ya 2000)....Ni wazi serikali itatetereka, kwa maana mawaziri wengi wamo kwenye scandal hii....naona akina IPTL,Deep Green,Mwananchi Gold na Kagoda sasa imefika zamu yao ya kuitwa Mahakamani.Mkuu tunangoja ripoti!!!
 
Mwanakijiji,

..sasa hapa tumshukuru IGP Mwema, Dr.Hosea, au AG Mwanyika? au bado ni mapema mno?

NB:

..nilishangaa kusoma kwenye ripoti ya IPTL ikimtaja vizuri Dr.Hosea. inasemekana Hosea alijenga kesi dhidi ya Rugemalira na alikuwa yuko tayari kumburuza mahakamani.
 
Kaeni mkao wa kura.. kwa vile hawawezi kumfikia BM moja kwa moja.. the closest thing is to get the closest confidants.. mnakumbuka Balali alivyoondoka nchini..? Mjiulize Mgonja yuko wapi? Sitashangaa na yeye akawa ameenda US kwa matibabu na hali yake ikawa mbaya na kufia Marekani...

I think they need to add more pages kwenye kitabu chao..
 
Wow, I cant believe it. Normal people worry me:confused:
 
Kaeni mkao wa kura.. kwa vile hawawezi kumfikia BM moja kwa moja.. the closest thing is to get the closest confidants.. mnakumbuka Balali alivyoondoka nchini..? Mjiulize Mgonja yuko wapi? Sitashangaa na yeye akawa ameenda US kwa matibabu na hali yake ikawa mbaya na kufia Marekani...

I think they need to add more pages kwenye kitabu chao..

Hivi Mgonja si Secretary pale wizara ya Fedha na Mipango? kaondoka lini?, na je kama bado nani anakaimu nafasi yake?
 
Kaeni mkao wa kura.. kwa vile hawawezi kumfikia BM moja kwa moja.. the closest thing is to get the closest confidants.. mnakumbuka Balali alivyoondoka nchini..? Mjiulize Mgonja yuko wapi? Sitashangaa na yeye akawa ameenda US kwa matibabu na hali yake ikawa mbaya na kufia Marekani...

I think they need to add more pages kwenye kitabu chao..

Mwanakijiji,

Hiyo kali, unaiba pesa za maskini, kisha unakimbilia USA, baada ya muda tunatangaziwa kifo. Unapotelea kwenye visiwa ukifaidi matunda ya ufisadi na kuwacheka akina Jeetu wakisota rumande. Kweli Tanganyika ina wenyewe.

Mgonja na yeye kapewa sumu akiwa wapi?
 
Halafu mke wa Mgonja anaishi California toka kitambo sasa.
 
Mwanakijiji,

Hiyo kali, unaiba pesa za maskini, kisha unakimbilia USA, baada ya muda tunatangaziwa kifo. Unapotelea kwenye visiwa ukifaidi matunda ya ufisadi na kuwacheka akina Jeetu wakisota rumande. Kweli Tanganyika ina wenyewe.

Mgonja na yeye kapewa sumu akiwa wapi?

amepewa sumu? Ila coincidences za kibongo huwa siwezi kuzishangaa. They are certain coincidences that happen just to certain people..
 
..issue ya kuwakamata mramba ,mrisho..mgonja etc ..ni muhimu ..lakini pia itam cost muungwana...hasa kutokaana na utendaji wake wa kazi kuwa the record low...itakuja kuwekwa na maadui zake ionekane ...kuwa the whole issue is PR ...RESTORATION PLAN YA KIKWETE AHEAD OF 2010......INGEPENDEZA sana kama perfomance ya serikali hii ingekuwa angalau average.........

kwa sasa ni rahisi sana kikwete kuongeza maadui hatari....
 
huyu mwanamke ni sugar mami maarufu..hapo vegas ....anatumbuwa na wanaume wa ki west africa na kikenya.......sidhani hata mumewe akipata matatizo atakuja....

Just curious, ni ndoa ya namna gani hiyo ambayo kila mtu anaishi kivyake?
au yuko huku kuandaa makao? You never know!
 
..sasa hapa tumshukuru IGP Mwema,

Unamshukuru polisi kwa kufukuza mwizi ?

Dr.Hosea,

Unamshukuru Mkuu wa Tume ya kupambana na rushwa kwa kupambana na rushwa ?

au AG Mwanyika?

Unamshukuru Mwanasheria Mkuu kwa kufuata sheria ?

Mimi ni kuli. Kwa kila mzigo ninaopakia na kupakua kwenye malori ya kampuni bosi anadunduliza hela sehemu kila mwisho wa siku. Zikifika wiki mbili karani wa kampuni ananipa hundi. Sijawahi kuambiwa ahsante. Tena mwenye mizigo hii, mmiliki wa kampuni, sijawahi hata kuteta nae.

Nikadai shukurani ?
 
Unamshukuru polisi kwa kufukuza mwizi ?

Unamshukuru Mkuu wa Tume ya kupambana na rushwa kwa kupambana na rushwa ?

Unamshukuru Mwanasheria Mkuu kwa kufuata sheria ?

Mimi ni kuli. Kwa kila mzigo ninaopakia na kupakua kwenye ya malori ya kampuni bosi anadunduliza hela sehemu kila mwisho wa siku. Zikifika wiki mbili karani wa kampuni ananipa hundi. Sijawahi kuambiwa ahsante. Tena mwenye mizigo hii, mmiliki wa kampuni, sijawahi hata kuteta nae.

Nikadai shukurani ?

Big up mkuu, kumsifu mtu kuwa kafanya kazi nzuri na kubwa wakati ndio wajibu wake haiingii akili. Hata serikali, tumewapa dhamana ya kusimamia rasilimali za nchi yetu na kuziendeleza kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho. Hatuhitaji kuwashukuru, tunataka wafanye wakishindwa tuna watimua.

Any way huyo Mgonja ndio kaamua naye kwenda kufa ili watultee maiti feki halafu waendelee kutumbua vijisenti vyetu, ok wacha tusubiri chenge naye aende kule Jersey
 
Waache watuzuge, ila wakumbuke kuwa hawawezi kutuzuga milele. Huu mchezo wao wa kuigiza ipo siku utafika mwisho. Hata Egoli iliisha. Wajue siku moja tutashika hatamu (patamu) na kuwashughulikia bila huruma! Siku hiyo haiko mbali. Sioni ni jinsi gani JK anaweza kuokoa jahazi lake lisizame kabla ya 2010. Hawa jamaa wa EPA ndo wanarudi nyumbani baada ya kutuzuga kuwa walikuwa Ukonga kumbe walikuwa kwenye 5 Star Hotels wanatesa. Siku si nyingi watauona moto wenyewe badala ya kucheza na miale!
 
Jamani ni vyema ukiandika kitu hapa uwe na ushahidi nacho,si kweli kama akina jeetu walikuwa wanalala kwenye 5 star! waulize askari magereza wa keko na segerea kama kuna mtuhumiwa analala nje ya huko.labda ungezungumzia preferential treatment wanayoipata basi na si zaidi ya hapo!
 
WHY preferential treatment?.

Ukiba kuku unapata treatment mbaya ukiiba mabilioni unapata treatment nzuri!! WOW I love BONGO.
 
Back
Top Bottom