Shapu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2008
- 2,111
- 790
Mbona hamuongelei wizi wake pia? au hiyo miradi anayo-lobby imewafaidisha nyie huko Rombo mkasau kuna sehemu nyingine zilihitaji pia na alitumia madaraka ya uwaziri wake vibaya kujifaidisha mwenewe akiwa kiongozi wa kitaifa! US$ 10 mio. ziko wapi?
Mkuu, nadhani huu mjadala uko katika level ya wilaya kama mbunge. Kama mbunge wa rombo hana kashfa katika level hiyo.
Lakini tukimu-assess kama waziri wa nchi then hapo ndo hizo kashfa zinakuja which are well known na zimekuwa zikijadiliwa sana.
Kwa kuwa tunajadili swala la ubunge na katika level ya wilaya, i would rather stick to that kuliko kuchanganya mambo then at the end of the day tunakosa mwelekeo wa mada as some of the threads would end.
Hivyo kama alipromis kufanya kitu fulani, akatekeleza, na kama katika utekelezaji huo aliibia/idanganya serikali at the level ya taifa, sisi huku rombo (at the level of wilaya) haituhusu. Our performance measurement was based on the promises he made. How those promises were implemented is not realy our prime concern. The concern iko kwa yale tuliyomtuma kama kayafanikisha basi.
Hizo fitu nyingine tutajadili kama taifa ie nini kalifanyia taifa. Remember kila mbunge yuko answerable to his people yaani wa lile jimbo analoliongoza moja kwa moja. Swala la utaifa linakuja baadae na hasa pale anapopewa jukumu la kushughulikia taifa kama la uwaziri.