Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,202
- 79,433
wewe acha character assasination hujasema makusanyo yalikuwa mangapi bado? per diem na makusanyo mazuri yanaruhusiwa na inasikitisha ya kuwa sasa unaanza kujirudi so yuko under WM na mahusiano yake na Pinda tunaomba utueleze! maana umesema ana mahusiano nae ni Pinda au Pinda na Mama Pinda? na ana uhusiano na Pinda family tu au na wabunge wote wa Sumbawanga yaani wakina Mzindakaya na Kimiti?Katika muda wote niliokaa pale LAPF Iringa, SIKUWAHI kuona akikaa ofisini kwa siku 5 za wiki za kazi Consecutively.Kila siku ni Trips kuzungukia "MAKUSANYO" ya michango. Ukweli ni kuwa alikuwa anakula imprest na per diem tu lakini kazi hakuwa akifanya. Staff wake woooote walikuwa wanamwogopa kuliko wanavyomwogopa shetani. Alikuwepo dada mmoja (sijui kama yupo hadi sasa) anaitwa Amina yeye ndo alikuwa anamchana live. Wengine wote walikuwa wanamwogopa.
Huyu mama aliwahi kuwa mkurugenzi wa idara moja pale LAPF HQ, wakamdemote kumleta kanda ya Kusini (Iringa) kwakuwa HAKUWA na mahusiano mazuri na staff wake. Akafight aka honga lakini akachemsha. Baadae WM huyu alipoutata u-PM baada ya EL akarudishwa tena HQ ambapo na po hakukaa, nasikia Mkurugenzi mkuu wa LAPF alikataa kufanmya nae kazi. Kwakuwa LAPF na ofisi anayofanyia kazi zipo chini ya WM, kilichofanywa ni kuhamishwa tu. Kuchapa kazi sio tatizo maana hata Muungwana nae ni Mchapa kazi lakini katika uongozi, vitu vitatu vinatazamwa, 1. Resources (watu=equipments), 2. Rerations (dhidi yako na watu=equipments) then Results.
Relations+Relations=Results.
Ukiitazama hiyo hesabu utagundua ni kwa nini huyu mama HAFAI
Kwa kifupi habari za kuaminika zinasema huyu mama walimtoa LAPF kwa vile waliona ni kizingiti katika wizi wao! ripoti ya ukaguzi wa serikali inasema jinsi hela zinazoliwa huko LAPF hata Marehemu Bura Mkurugenzi Mkuu kipindi hiko alikataliwa kuongezewa mkataba kisa Millenium Tower that was overprized almost twice the amount! na hiyo ripoti ya CAG unaiongeleaje? Ndo unataka kutuambia huyu mama amewa-convince CAG kutoa hiyo ripoti yenye upotevu wa fedha sio! Relation + bogus peopl e= failure