Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,419
- 2,270
Kamanda, hili ni tusi tena ni la reja rejawandugu,
..kuna baadhi ya wana JF ambao wametembea na kuishi ASIA,ULAYA, na MAREKANI, lakini bado wanabeba kadi ya chama cha kifisadi kama CCM. watu kama hao wana haki gani ya kujiona wako enlightened kisiasa kuliko wananchi wavuja jasho wa Rombo ambao wana historia ya kutorudisha incumbents bungeni na kupigia kura upinzani?
...