Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,287
- 10,842
THIS IS GAME OF ..............., Wadaganyika tutaendelea kudanganywa hadi lini? imefikia wakati tukaamua, hivi lini tutaacha kuongea na kufanya kazi, we need real fighters, hivi nani anasimamia maamuzi kama haya? wananchi wa Kilimanjaro na Tanzania yote tuunganeni kupambambana na hili, hivi tukiamua kwenda kulala nje ya geti la Ikulu wote kwa pamoja watatufanya nini? Mwenye jibu anisaidie ili niweze jua nini kitatokea na kwa nini tunashindwa kufanya maamuzi maziti kwa ajili ya mustakabali ya nchi yetu
Imefikia wakati tutoae maamuzi sahihi kwa wakati sahihi na wala siyo kusubiri 2010, hakuna magic 2010, lazima tubadilike sasa.
Thubutu!!!!!FFU na magari yao ya maji washawasha watahamia gate la Ikulu. Bila kusahau vijana wa kova, na mikoa ya jirani kuwahi emergency na vikosi vyote vya jeshi vitatembeza mitutu na virungu. Halafu, ghafla unaweza kukanwa uraia kama wale wananchi wa Loliondo. Tanzania ni nchi ya wachache mafisadi, wala rushwa na wengine wa aina hii. Hakuna kiongozi mwenye uchungu na maskini.
Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe.