Mradi wa ujenzi Mji mpya wa Kigamboni wayeyuka, Wananchi uksa kujenga!

Kweli watu wengine humu jamvini mnahitaji anayenena kwa lugha mpate kuelewa. Kauli gani itokayo serikalini hasa Pinda iaminiwe? Toka alipoanza na kauli ya kuua yeyote anayehusishwa na mauaji ya albino, imekuwa ni hovyo hovyo mpaka leo. Huyo awe wa kumwamini?
 
Acha uoga kama kunguru, hakuna serikali ya kutekeleza maendeleo, ndg yangu changamka, cha msingi tushikamane tu, hakuna cha mji mpya wala mpango mji ilikuwa njama ya kutaka kupora ardhi ili wauze kwa mabwana zao marekani, wamechemsha, sasa sisi tuantakiwa tukomae, serikali ni ya kisanii tu,
 
Back
Top Bottom