Mradi wa ujenzi Mji mpya wa Kigamboni wayeyuka, Wananchi uksa kujenga!

Hii ilikuwa dhahiri, mji uo tarajiwa niliuona kweli ilikuwa ni ndoto za mchana, kitu kama new york kuuleta apa bongo ilojaa usanii kweli ilikuwa ndoto za mchana
hureeeeee ngoja tukarabati vibanda vyetu kwa kasi maana madhalimu walitupiga mkwara na kwa udhaifu tukaitika,
ama kweli rip ccm in 2015
 
Hahahahaaa hata mimi nilijua ilikuwa njozi tu.
 
Mungu mkubwa tumeteseka sana!

Ingawa nawasihi wanakigamboni wenzangu kuwa makini,

Kesho Pinda atakana kauli yake wana Kigs tutakosa cha kumfanya

Hapa akili kichwani mwetu!
 
Niliwahi kuuliza hapa: nani ana finance hii kitu? Maana haikuingia akilini kabisa kwamba fedha za dhahabu zinaishia ulaya na kwenye akaunti za Uswiss, tumeshindwa kuweka madawati madarasani na kuongeza waalimu, sasa ghafla bin vuu tujenge mji wa kisasa mithili ya NY. Where did the money come from?
 
Duh! Wale waliouza viwanja vyao kwa haraka na hata kuwaficha wanaowauzia nini kilikuwa kinajiri naona sasa wanajiona kama wajinga
 
Faustine ndungulile fb

"Kwa kauli ya Waziri Mkuu ni kwamba wananchi wa Kigamboni ni ruksa kujenga. Notisi ya kusitisha kuendeleza maeneo iliisha Novemba 2011"

Maskini profesa Anna Tibaijuka ataiweka wapi sura yake baada ya kauli za matambo kuhusu mji mpya Kigamboni alizozitoa pale jangwani kwenye mkutano wa CCM majuzi!; kwa nini asije kuitwa mwongo!! Pole dada yangu hizo ndio siasa za bongo, hapa sio UN habitat bali hapa ni wizi mtupu.
 
Back
Top Bottom