Mradi wa nyumba 5000 wakwamishwa na Daniel Yona?

Nyumba 5000 ni tone tu katika bahari ya uhaba wa makazi bora Tanzania. Kama kweli wangekuwa na nia hakuna ambae angeweza kuwakwamisha. Ila kama mpango ni kujengeana mabwanyenye..........

Amandla.....
 
Enterprise Homes Tanzania, a joint venture involving the Massachusetts-based (US) Enterprises Homes LLC Andover and Dar es Salaam's Kays Hygiene Products Limited and Serengeti Capital Limited, plans to build 5,000 homes in major urban centres across Tanzania

Hiyo nyekundu ni ya IDDI SIMBA
 
ujenzi mwingi wa nyumba hugeuzwa kuwa nyumba za wenye pesa na hununua nyumba hizo kwa bei nafuu na kufanya mradi ni kwa matajiri kujiongezea,ujenzi mwingi wa nyumba kwa madai za bei nafuu kwa masikini.
 
Binafsi ningependa kujua mpango wa BoT nyumba zake zitakuwa ni za kiasi gani? Hawa EHTL nyumba zao wanasema zitakuwa chini ya dola laki moja.. ningependa kujua BoT wanaposema "affordable" wanazungumzia prices za range gani..

Hivi, si nasikia hata NHC wana mpango wa kujenga nyumba na kuuza .... kuna mwenye info ya price range ya hizo nyumba na zinajengwqa wapi?
 
Hawa watu walifanya mkutano Boston at that time walikuwa wanasolicit watanzania wanaofanya kazi marekani kuapply ili waweze kuonyesha OPIC kuwa demand ipo na watu wenye kipato cha kulipa hizo morgage wapo. Walisema morgage zingekuwa kama dola 600 kwa mwezi lakini interest yao ilikuwa juu kidogo kweye 12% kama sikosei. Kwa mtazamo wangu hizi nyumba zilikuwa zinalenga kuwasaidia watu wenye kazi (tena kipato cha juu) kuweza kulipa kwa mwezi na sio wasiokuwa na uwezo!
 
Did your mum tell you there is nothing like a monster? well she lied to you these are the monsters, Yona, Idd Simba and their like!
 
Kizungu zungu...
Tangu lini BOT wakafanya biashara!! Au mimi ndo sielwi hapa.
Serikali si imejitoa kufanya biashara?
 
Daniel Yona ana mtoto aitwae Edward nae ni dalali pia(wa nyumba na viwanja)...big time

Bwana Edward amemuoa Binti wa Idd Simba, waliutanganza saana huu mradi na walishawish watu wakajiandikishe kupitia PROIN LTD, baada ya sakata la EPA tuliojiandikisha hata hatujawahi sikia neno lolote kutoka kwao,Proin na wao walikuwa moja ya wabia kwenye huu mradi
 
Back
Top Bottom