Mradi wa kitega uchumi cha mwalimu nyerere umeishia wapi?

Hekima Ufunuo

JF-Expert Member
May 28, 2009
220
11
Juzi nimepita mahali ambapo kitega uchumi cha mwalimu Nyerere Foundation kilikuwa kijengwe nikaona majani tu, hata ule uzio uliokuwepo umeondolewa.

Wadau nauliza, ni kitu gani kimetokea kwenye huu mradi mkubwa ambao hata mimi nilichangia kwa kununua bahati nasibu ya Ndugu yangu M. Sabodo?

Viongozi hawa wa CCM ndiyo wanatuimbia kila siku wanamuenzi Mwalimu, Je Mbona wanataka kuiua Foundation yake?

Please help me.

Respect
 
fitna za watawala hawa jamaa walinyimwa building permit wasijenge karibu na Ikulu sasa cha ajabu wakapewa open space ili tu ku-discredit institution! halafu cha ajabu ile plot waliyonyimwa atakuja pewa kibopa soon!
 
Back
Top Bottom