Mr Tanzania mwaka 1973 asema atatoa ufafanuzi kuhusu suala la Miss Tanzania mwaka 2006

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,482
20,426
Ok, happy valentine wadau wa macelebrity wakibongo,
Najua wote tumekua tukisikia mambo kadha wa kadha yakiendelea kuhusu ujauzito wa miss Tanzania mwaka 2006 (pichani) mara hivi mara vile. Hali hii ilimfanya Mr Tanzania mwaka 1973 (pichani) kutumia ukurasa wake wa instagram kuelezea ukweli wa mambo kama unavyoonekana hapa chini
12530983_945572525538918_2062565653_n.jpg

Enough guys naona sms na messages nyingi sana kutaka niseme something kuhusu my Super Friend Wema Sepetu @wemasepetu na Maneno maneno mengi yaliyozagaa Mtaani kwamba amepoteza mtoto.....well, Wema is my close Friend Wiki Tatu zilizopita nilikwenda at her home alikuwa mjamzito, na Jumanne ya Wiki hii I was at her home again for Nyama Choma alikuwa mjamzito Mara ya mwisho kuonana naye uso kwa uso ilikuwa Jumatano tulikuwa pamoja mpaka Saa Tisa Asubuhi since then sijamuona wala kuongea naye kwa simu...in my life sijawahi kuongea bila FACTS sikuwahi kugusa Ujauzito wake mpaka tulipokutana uso kwa uso nikathibitisha mwenyewe so siwezi kuthibitisha anything mpaka nimeongea naye au kuonana naye tena uso kwa uso... Na infact nipo naye kwenye group maalum la watsap ambako anashiriki 100% sijaona dalili zozote kwamba ana matatizo ..... so please naomba watu muache kunitumia sms za kumuuliza Wema Sepetu I have no FACTS.....by the way Leo Saa Tano tukutane live at Jembe FM 93.7 Radio nitakuwa live pia kwa MASWALI NA MAJIBU live from MWANZA! - le Mutuz

Pia gwiji hilo la mitandao ambalo kwa sasa liko Mwanza ambapo lilienda kwa basi la kampuni ya Zuberi alitumia ukurasa wake instagram kuelezea kilichotokea kati ya mabinti wa kibongo na msanii toka Nigeria Techno
12328480_1976132532610854_323634526_n.jpg

kisha kuweka maneno haya
With Nigerian Super Star Teckno @teknoofficial nimemuuliza lile Super swali alichonijibu ni "I am an innocent nigger, I did not do anything" leo usiku hapa kitanuka U KNOW! - le Mutuz

Gwiji huyo anategemea kurudi Dar wiki ijayo ambapo mashabiki wake wameandaa mapokezi ya heshima kutokea stand ya mkoa Ubungo mpaka ofisi zake downtown back to back na tayari kabisa kwa sherehe za super 2 years za super blogu ya wananchi
 
Jamaa alikuwa ana fanya utalii wa ndani katoka dar hadi mwanza Kwa bus wakati ana enda mwanza kushuhudia Huawei akikata viunoo
 
Wewee jamaa kiboko sana kwa huu uandishi wakooo.........finally i laughed today
 
MR Tanzania 1973 A.K.A baba swalehe inamaana alikosa mfadhili wa kumlipia ticket akapanda zuberi.....huyu babu kuongea mambo y wema mara alimshika 2mbo mara cjui vile..lini huyu babu atakua mtu mzima ana act kma mwanae agapeo...mtu mzima hajielewi hapo yupo na mshati wke mchafu kma bata
 
Ikifika page ya 10 mniite najua ataibuka my Super Friend the Mogul
 
Ok, happy valentine wadau wa macelebrity wakibongo,
Najua wote tumekua tukisikia mambo kadha wa kadha yakiendelea kuhusu ujauzito wa miss Tanzania mwaka 2006 (pichani) mara hivi mara vile. Hali hii ilimfanya Mr Tanzania mwaka 1973 (pichani) kutumia ukurasa wake wa instagram kuelezea ukweli wa mambo kama unavyoonekana hapa chini
12530983_945572525538918_2062565653_n.jpg

Enough guys naona sms na messages nyingi sana kutaka niseme something kuhusu my Super Friend Wema Sepetu @wemasepetu na Maneno maneno mengi yaliyozagaa Mtaani kwamba amepoteza mtoto.....well, Wema is my close Friend Wiki Tatu zilizopita nilikwenda at her home alikuwa mjamzito, na Jumanne ya Wiki hii I was at her home again for Nyama Choma alikuwa mjamzito Mara ya mwisho kuonana naye uso kwa uso ilikuwa Jumatano tulikuwa pamoja mpaka Saa Tisa Asubuhi since then sijamuona wala kuongea naye kwa simu...in my life sijawahi kuongea bila FACTS sikuwahi kugusa Ujauzito wake mpaka tulipokutana uso kwa uso nikathibitisha mwenyewe so siwezi kuthibitisha anything mpaka nimeongea naye au kuonana naye tena uso kwa uso... Na infact nipo naye kwenye group maalum la watsap ambako anashiriki 100% sijaona dalili zozote kwamba ana matatizo ..... so please naomba watu muache kunitumia sms za kumuuliza Wema Sepetu I have no FACTS.....by the way Leo Saa Tano tukutane live at Jembe FM 93.7 Radio nitakuwa live pia kwa MASWALI NA MAJIBU live from MWANZA! - le Mutuz

Pia gwiji hilo la mitandao ambalo kwa sasa liko Mwanza ambapo lilienda kwa basi la kampuni ya Zuberi alitumia ukurasa wake instagram kuelezea kilichotokea kati ya mabinti wa kibongo na msanii toka Nigeria Techno
12328480_1976132532610854_323634526_n.jpg

kisha kuweka maneno haya
With Nigerian Super Star Teckno @teknoofficial nimemuuliza lile Super swali alichonijibu ni "I am an innocent nigger, I did not do anything" leo usiku hapa kitanuka U KNOW! - le Mutuz

Gwiji huyo anategemea kurudi Dar wiki ijayo ambapo mashabiki wake wameandaa mapokezi ya heshima kutokea stand ya mkoa Ubungo mpaka ofisi zake downtown back to back na tayari kabisa kwa sherehe za super 2 years za super blogu ya wananchi
Hahaaaaaaaaaa yan kumbe Lemutuz alikuwa Mr Tanzania?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom