Mr Sugu na Mkoloni Wajiunga Rasmi na CHADEMA

1.jpg

Yeah, "I wanna kill right now," but lets get some politics stunt going tho', lets fool these clueless Tanzanians





 
Last edited by a moderator:
Safiiii. Kama watakuwa wamejiunga kupambana na uozo kupitia sanaa nawapongeza sana, lakini kama wamefanya hivyo kwa ajili ya maslahi binafsi kama walivyofanya wenzao wengi kwa CCM nasema WASHINDWE NA WALEGEE
 
Duh, sasa sikia hii kali, nasikia kakamatwa na hawa jamaa wa UWT, kazi ipo...................
 
Duh single ya mshikaji kali asante mdau kutudondoshea hapa jamvini.
 
Hawa jamaa muziki umewashinda sasa wanaleta uchuro chadema ,huyu mr 11 alitengeneza bifu na jk recently kuhusu tangazo la zinduka leo anajifanya chadema kwa hakika nimjuavyo mbowe na mr 11 wote wana pepo mkuu wa ngono na hakika watagombania mwanamke hivi karibuni,chadema mnapokea matatizo wapotezeeni hao jamaa hawana mpango;;;;
 
Muda mfupi uliopita wanamuziki maarufu ndani na nje ya nchi Mr Sugu pamoja na Mkoloni wamejiunga rasmi na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA).

Wanamuziki hawa walikuwa wametangaza kujiunga kwa na CHADEMA leo kupitia vyombo mbalimbali vya habari katika Ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho Kinondoni Dar es Salaam.

Kujiunga kwao kunafanya idadi ya wanamuziki mashuhuri kuongezeka katika kujiunga na chama hicho baada ya Nakaaya Sumari kujiunga hivi karibuni na kutangaza a[COLOR="black"]zma ya kugombea Ubunge[/COLOR].

j934ug.jpg


Habari ndio hiyo. Big Up!

HIVI NAKAYA ANAGOMBEA UDIWANI ama UBUNGEEEEEE???/
 
Back
Top Bottom