MR ROCKY - Heart Felt Congratulations To You

Hongera sana Mr Rocky!
Tumuombea mtoto maisha ya afya na furaha na tunawaombeeni wazazi Mungu awape nguvu na busara za kumlea kijana wetu.
 
Last edited by a moderator:
Catherine asante sana na nashukuru kwa maombi yako
Belinda jacob nashukuru sana
MAMMAMIA nashukuru sana kwa maombi yako. Mungu ajalie heri kufikia hilo. Asante sana
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom