MR ROCKY - Heart Felt Congratulations To You

@Mr. Rocky mamito hatakiwi kusumbuliwa sasa anahitaji kumaintain hoteli ya mtoto,

akiwa anafanya hivo mpeti peti huku ukipoozwa kiu yako na maji saaafi na Eros.

hongera papito. mwaaaaah! come this way........:A S-baby:
 
Nitumie Pm naona kuna mtu hanitaki hata kuniona.....:yawn:....ndo maana nakupenda B....unajua kuangalia kwa jicho la pili

Achana na konnie wivu unamsumbua mke mwenza kapata mtoto wakati yeye mwaka wa nane ana cheat na roki lakini mimba hola.
 
hongera sana Mr. Rocky! Kumbe ndio maana ulikuwa unamvizia Yummy?? lolest! am sooo happy for u! MUNGU AKUKUZIE!
 
Last edited by a moderator:
:eek2:...uliniudhi sana, hadi tukutane huku kwa Mr Rocky Kaizer?? Haya...napitia pampers za mtoto tuende wote huko..!

I understand that God did not put in me the ability to always make right decisions.He did,however put in me the ability to make a decision and then make it right.My mind will live in the solution of the future.


come this way Michelle......:A S-baby:
 
Last edited by a moderator:
Wakuu sitaweza kuwataja wote au kusema jingine hapa zaidi ya asante kwa pongezi zenu na maombi yenu The Finest my bro asante sana, Bishanga nitafanya hivyo na asante sana Kongosho nashukuru sana kwa pongezi na maombi yako na kuwakemea wachakachuaji wa siredi Michelle na Kaizer duh mpaka huku. Asanteni sana wakuu mtotowamjini na Mamndenyi shukrani sana wakuu wa maombi yenu, mtu chake asante sana mkuu ,
 
Last edited by a moderator:
Darling hazbendi hongera sanaaaaaaaaaaaaa.......the joys you are about to experience will warm your heart. Mwenyezi Mungu akukuzie my dear.

Daaaah hapa naona utakavyokua unaniganda Mr Rocky nisiende maliwatoni utakua nyuma yangu, mbona ntakoma!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom