mr PREZ..

cheusimangala

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
2,585
497
39631_416033737687_573177687_4896098_6460786_n.jpg

Mnamsemaga bure hebu ona anavyothaidia,eti pipi si ndio basic need ya watoto wa tanganyika eeh!!!
is it lovely or anoying!!?u decide!.
lav u all.
 
Beauty is in the eyes of the beholder... May be to him that's the most pressing and basic need to the boy. But whenever you have nothing to give, try whatever you can squeeze out of yourself!
 
heri akupaye elimu kuliko chakula tena pipi anewei tuombe Mungu

well said my brother,hii taswira inanifikirisha sana mpendwa,ni kweli tunahitaji kuliombea hili taifa hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi kwani Tunamuhitaji Mungu atusaidie kutuongoza kumchagua atakayekuwa na manufaa kwetu.
 
610x.jpg

Mambo mswano kwa saaaana mwana wane....... Msiwe na wasiwasi, ni swaumu ........ ahhh Kisukari na Pressure.
 
Mnamsemaga bure hebu ona anavyothaidia,eti pipi si ndio basic need ya watoto wa tanganyika eeh!!!
is it lovely or anoying!!?u decide!.
lav u all.

Eti mtoto hajala tangu juzi na hajui kama leo atakula halafu unampa pipi ya cent 50!! Puuuuu............Nilitaka ku..... nikasita......Mimi akipita ombaomba pale getini huwa nawaambia vijana wampe unga/maharage/mchele/mafuta/kakitunguu/chumvi kwa umaskini wangu!! Sasa leo eti unampa pipi, sijui biskuit za Azam. Kulaleki!! Wapinzani ingepasa wapate achieve ya picha chefuchefu zote wazunguke nazo kwenye kampeni. hivi inaruhusiwa jamani kupakana madongo?. Unajua wao waliaanza kwa kujihami eti watafanya kampeni za amani!! kumbe wanaogopa wasitibue mambo.
 
hasira zinavyonipanda wee acha tu!
 
610x.jpg

Mambo mswano kwa saaaana mwana wane....... Msiwe na wasiwasi, ni swaumu ........ ahhh Kisukari na Pressure.

Hivi hawa waheshimiwa wa Usalama wa Rais hii uniform yao mbona inawafanya wanakosa kuwa "Salama"? They ALL look!
 
Mnamsemaga bure hebu ona anavyothaidia,eti pipi si ndio basic need ya watoto wa tanganyika eeh!!!
is it lovely or anoying!!?u decide!.
lav u all.
Kweli nimeamini kuwa tuna haki ya kutopata maendeleo,kumbe JK huwa anatembea na pipi kwenye gari??????????
 
Back
Top Bottom