Mr President! Maliasili na utalii umepaona pepesi pale?

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
Huwa najiuliza sipati jibu maridhawa ni kwanini Wizara nyeti kama ile kwa pato la taifa umempa waziri mmoja bila naibu? Ana uwezo gani huyu wa kuwa pekee,hasafiri,haendi likizo,haumwi?
Ama yule ni kivuli tu pale cha kugawa vitalu na vibali vya kuvuna misitu na kujenga mahoteli na airstrips kwenye mbuga zetu..? nashawishika kuamini kuwa yupo waziri mwenyewe anayesuka mipango hadi dege zima la kijeshi kuja kuhamisha wanyama adimu! Hebu mtume salva atupe taarifa fupi tu ya sababu chache za kuweka waziri mmoja pale?
Single pilot aliepo hapo nasikia ameanza kugawa cash $ 310,000 jimboni kama msaada wakati wewe huna pesa za kulipa mishahara,nina mashaka akipatwa na tatizo angani ndege itakosa mwelekeo.ni hayo tu!
Ijumaa Kareem
 
wingi wa mawaziri sio hoja hoja ni uchapa kazi uaminifu na uzalendo, waziri anaye katibu mkuu naibu katibu mkuu wakurugenzi wakuu wa idara wanatosha sana manaibu waziri zaidi ya kujibu maswali bungeni tena bila usahihi sioni kazi yao afadhali waondolewe, hii nchi tatizo hatujapata viongozi wanaoumizwa na shida za wananchi tuna viongozi wnaojijali wao na familia zao na ni jukumu letu kuuondoa utawala wa nanmna hii bila hivo tutabaki kulilia na kujaza kurasa hapa jf lakini wenzetu wanapeta
 
Mi nalifikiria hili kwa uopande mwingine. If the ministry, with its immense wealth as you have depicted, can be run by a single minister, then it might as well operate without a minister. This proves that Ministers are irrelevant
 
Si sahihi. Waziri ni muhimu katika kuhakikisha sera sahihi zinaasisiwa na kuendelezwa katika sekta husika. Pia katika kufuatilia mfumo mzima wa utekelezaji na kuagiza marekebisho ya mara kwa mara yafanyike ikiwa ni pamoja na kuyawasilisha na kuyatetea katika Baraza la Mawaziri na Bungeni. Kwa kifupi ndiye anayeimarisha na kusimamia "mfumo mzima" wa uendeshaji wizarani.

Wizara ikipangwa sawasawa na kila nyanja na eneo likwa na wataalamu stahili wanaofanya kazi zao kwa miongozo na mifumo thabiti ya uongozi basi inamwezesha Waziri (hata akiwa mmoja) kutekeleza majukumu yake ya ngazi ya juu (ufuatiliaji na uboreshaji wa sera, mifumo na mikakati) kwa ufanisi zaidi. Kazi ya kusimamia utendaji wa siku hadi siku ni ya Katibu Mkuu na wakurungenzi wake.
 
Huwa najiuliza sipati jibu maridhawa ni kwanini Wizara nyeti kama ile kwa pato la taifa umempa waziri mmoja bila naibu? Ana uwezo gani huyu wa kuwa pekee,hasafiri,haendi likizo,haumwi?
Ama yule ni kivuli tu pale cha kugawa vitalu na vibali vya kuvuna misitu na kujenga mahoteli na airstrips kwenye mbuga zetu..? nashawishika kuamini kuwa yupo waziri mwenyewe anayesuka mipango hadi dege zima la kijeshi kuja kuhamisha wanyama adimu! Hebu mtume salva atupe taarifa fupi tu ya sababu chache za kuweka waziri mmoja pale?
Single pilot aliepo hapo nasikia ameanza kugawa cash $ 310,000 jimboni kama msaada wakati wewe huna pesa za kulipa mishahara,nina mashaka akipatwa na tatizo angani ndege itakosa mwelekeo.ni hayo tu!
Ijumaa Kareem
Hivi do you realy think deputy ministers wana role ya ku play? unafikiri wanaongeza tija? Ukweli ni kwamba deputy ministers hawana kazi. most of them hawaelewani na mawaziri. Wapo wapo tu. Ni bora uweke naibu katibu mkuu kuliko naibu waziri. Waondolewe tu wote.
 
Mi nalifikiria hili kwa uopande mwingine. If the ministry, with its immense wealth as you have depicted, can be run by a single minister, then it might as well operate without a minister. This proves that Ministers are irrelevant

In fact we don't need Ministers. Let the PS's who are in effect Ministry's CEOs take charge of all affairs. In my opinion Ministers are just parasites who are paid to speak things they don't know - just like parrots.
 
Tuliongea humu...matokeo yake tunayaona sasa..huyu jamaa ana jicontradict na Ethics za wadhifa wake kama mtumishi wa umma
N:B
Anthony Diallo Mwandu na Karamagi waliwekwa kando kwa kufanya haya haya ya Maige..kweli tutafika??
 
Back
Top Bottom