Mr. Politician kuimba Arumeru? Yule dada kapotea, simsikii tena

Tena anayegombea nadhani wanaundungu!! Nakaaya Sumari ndio jina lake!!
Siku hizi yuko Arusha anafanya kazi kwenye kampuni moja ya Tours iko huko Usariver!!!

Ule wimbo ulikuwa poa sana ila unawachana sana viongozi,sidhani kama CCM wataukubali ARUMERU!!
 
What the hell is she..!?
Alipokosa viti maalum chadema akakimbilia magamba akidhani "ataula".....ndo kapotea. Hii inaonesha dhahili kuwa alikuwa garasa.
 
Hahahahaaaaaaa...!Hana ujanja huyo..Kisha pinduliwa kitambo na Vicky Kamata...
 
Tena anayegombea nadhani wanaundungu!! Nakaaya Sumari ndio jina lake!!
Siku hizi yuko Arusha anafanya kazi kwenye kampuni moja ya Tours iko huko Usariver!!!

Ule wimbo ulikuwa poa sana ila unawachana sana viongozi,sidhani kama CCM wataukubali ARUMERU!!

hawana undugu wowote zaidi ya ukoo yeye anaitwa Gloria Abraham Sumary na huyu anaitwa Sio Solomon Sumary .
 
Haya ndo mambo tunasemaga. Huyu demu aliruka mkojo akakanyaga mavi. Nafikiri atakuwa amepata funzo. Huwezi kusaliti umma afu upone hv hv. Alifikiri amdfanikiwa kuitumia CHADEMA kama daraja la kujikweza kisiasa, kwa bahati mbaya hakuelewa tabia za huko alikokimbilia. Sasa ameipata fresh. Amejiaibisha na kujichoresha jinsi alivyokuwa mwanasiasa uchwara. Hata ile nyimbo yake ya Mr. Politician anaionea aibu. Kaimba mwenyewe ila ujumbe unamchoma yeye mwenyewe. Kaamua kula matapishi yake
 
Back
Top Bottom