MR. Paul - NAKUZIMIA

GHOST RYDER

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
1,025
475
Uko wapi ndugu yangu Mr. Paul toka tumekutana mara mwisho pale Kampala, sijakusikia tena kulikoni au ndo mambo ya kubadili ajira.

Naanza kimtindo namna hiyo lakini ukweli ni kwamba wasanii wetu wengi wakali wa zamani kama wacheza mpira vile wote wamezimika kimya kabisa hatuwasiki walipo.

Igeni utamaduni wa Magharibi kama ulikuwa Nyota katika jamii game likagoma unajipenyeza katika media kama alivyofanya Zembwela, utaishi miaka mingi kidogo na mchango wako utafika.

Sikujua kama Zembwela ana ujasiri wa kukemea serikali kichwa maji kama anavyofanya katika EXPRESS SHOW EATV Radio.

Comeon Mr. Paul tell us where are you
 
Back
Top Bottom