mr nice

cholo

Member
Feb 3, 2012
97
7
anapiga show kwa macheni nakulipwa mia tano na huyu jamaa alikuwa na hela katesasana kwenye game maisha bwana
 
kwa ujumla jamaa game alianzia pale akitokea zenji,so km karudi sio mbaya,ila kuchoka kachoka yani hata ukimpa biere anafanya kumsomesha kaunta ampe hela arudishe bia
 
siku hizi hakuna kwa macheni. pale pamebaki ni dangulo. harafu munaongea kishabiki sana. hana hela kama alizo kuwa nazo lakini vilevile hajachacha kiasi hicho. ana miaka saba hajafanya mziki. je wewe ukikaa miaka saba bila kazi utakua na hela?. anakuja sasa kivingine. kashakamilisha album na kutoa single moja ya kuiwakilisha ambayo ishaanza kufanyiwa video na katikati ya mwezi huu video itatoka. alikuwa kapumzika zake pemba. kumbuka bandi yake ya bush band bado inachapa kazi kama kawa.
 
Duh, hatA wewe ni memba huku?
 
Back
Top Bottom