Mr Nice apigwa?

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,502
11,248
Wakuu nimeona picha kwenye Mtandao wa Shigongo kuwa Selebu wetu Mr. Nice amepigwa vibaya sana kiasi cha kuvuja damu usoni.


attachment.php



attachment.php




View attachment 11942View attachment 11941


This is too sad..
 
Ukiitazama kwa makini hiyo picha, hainyonyeshi kama kweli kapigwa... hii inaweza kuwa fix ya kurejesha umaarufu
 
midamu yote hiyo eti kapigwa aitoke vitunguu/asivimbe?sijaelewa
 
Mbona fulana haina damu? Ina maana damu yote iliganda kabla ya kutiririka kwenye fulana? Huyo kachorwa...!
 
Halafu uniiangalia sana hiyo picha inaonekana huyo mtu ana fanana na Mr Nice na si yeye kabisaaaaaaaaaaa
 
mmmh inawezekana lakini hebu anajua ful mkanda atupe si mnajua kuwa huyu alkuwa supa* tupeni wenye undani zaidi tafadhali
 
na wewe mtoa mada kuwa makini unapokuwa unasoma jaribu ku-concentrate, huwezi kutofautisha Damu na tomato souce? mambo ya acting hayo wewee
 
Ukiangalia vizuri utagundua, wakati wa kumpaka hiyo tomato..... walikuwa makini isimuingie machoni.
Angalia tena.
 
Halafu uniiangalia sana hiyo picha inaonekana huyo mtu ana fanana na Mr Nice na si yeye kabisaaaaaaaaaaa

Yeye ana upele usoni. Halafu huyu jamaa si ndiyo mzazi mwenzie na marehemu Diana Astonivilla aliyekuwa mnenguaji wa ASET?
 
Kapigwa kweli coz alichokoza mtu kwa kumwambia kamtapeli pesa walipokuwa club...matokeo yake jamaa akamtwangwa chupa ya uso na Mr Takeu kuzirai nusu saa!source Shigongo.:biggrin:
 
Back
Top Bottom