Mr & mrs nguli-on our first date

Wife mrembo ila wewe Nguli honeymoon unavaa kofia la ajabu ajabu namna hiyo
Hongera sana good choice .
..Hilo kofia inanikumbusha maeneo ya njombe na makambako na hasa wakati kama huu wa baridi huenda Nguli aliwahi kupitia huko kipindi kama hiki cha July then akaamua kubaki na kumbukumbu!!!
 
Enzi hizo bwana!

Kumbe Nguli ni wewe uliyenichukulia "Mpenzi" wangu?

Hapo ni Karibu na lile Kanisa la Mt nani vile?
 
Enzi hizo bwana!

Kumbe Nguli ni wewe uliyenichukulia "Mpenzi" wangu?

Hapo ni Karibu na lile Kanisa la Mt nani vile?

Ha ha ha samahani sikujua labda yeye hakunieka wazi la muhimu ni kwamba tayari una mtu mwingine - JS
 
Back
Top Bottom