Mr II (Sugu) katika kashfa ya wizi wa wimbo wa Mr Blue 'Freedom'

Ujui lolote kuhusu mixtape usilete ujuaji kwa usilolijua... Kwenye muziki kuna wimbo, kuna remix, kuna cover, kuna mixtape... Beka alifanya cover.. Hii ya Sugu ni nyimbo na anajifanya kui own ilihali aliitwa na Blue kushiriki leo inageukaje ya kwake?
Mkii mr gentleman sadifu basi maana ya jina lako...Nini tofauti ya "Mixtape" na "Cover"?....mimi nilidhani ni kitu kimoja,naomba nielimishe
 
Alichofanya Sugu ni "Mix Tape",hii ipo kote duniani,Legendary kufanya "mixtape" ya wimbo aliyowahi kushiriki ili kuwapa radha mashabiki wake wanaokubali mziki wake.Sugu ana mashabiki wanaopenda Hip hop yake,na mwenyewe kasema baada ya harakati za Siasa aliamua kuwapa watu wake radha ya wimbo katika Audio na Video

Sugu hajaufanya huo wimbo kibiashara au kiushindani,ameufanya wimbo huo just kuwapa burudani watu wake.Ndio maana kwa "uugwana" kaamua kutoa ile mistari ya Mr Blue,pengine "concern" ya Mr Blue ni kuona kwanini Sugu kamuita Roma na kina Prof J yeye akaachwa??

Sugu ana "haki" zake katika Verse alizochana na Mr Blue,ndio maana kachukua zile zake tu,na za Mr Blue kaziacha.Hili ni tatizo kwa Wasanii wa Bongo kukutana vijiweni bila kuwa na "Haki Miliki" za wimbo,kama umeimba na mtu kwa kumshirikisha,na haki miliki ipo kimya,mistari aliyoimba mwenzako kwa kumshirkisha inabaki kuwa yake na wimbo unabaki kuwa wenu.

Mix-Tape ipo sehemu zote duniani....Maana hapa kuna watu wameanza kuingiza UKAWA na CCM bila hata kupata muda wa kujiuliza.Hii kazi ya kumuandama Sugu inaendelea,maana wakati anaandaa nyimbo zake akaja humu Lizaboni kusema Sugu anamiliki magari ya kifahari

Leo Mr Blue anasema "kaibiwa",halafu leo leo saa tatu usiku Clouds Tv Kipindi cha "Take One" Zamaladi mke wa Ruge atamuhoji Mzazi mwenzake na Sugu maswali ambayo najua baada ya kipindi uzi utaletwa hapa.Ndio maana siipendi siasa,kutwa kucha kuviziana

Beka kaimba wimbo wa Adela,na hakuna lolote sbb ilikuwa kama "mixtape" tu.Sugu hajautoa wimbo huo kwa "Commercial purposes" hiyo ni zawadi ya mahadhi yake kwa wale waliokuwa wamemiss miondoko yakeView attachment 342479View attachment 342480


huyo ADELA ambaye beka kaimba nyimbo yake ni adela huyu msanii wa huku manzese mtoto wa mama imma au ulikuwa unamaanisha ADELE??
 
Wengine wanatoa majibu mepesi na kumkebehi mtunzi halisi aliye tumia kichwa chake kwa ajili ya mapenzi yao kwa Sugu,Hapana,Hapana sio haki na haikubaliki Mwizi ni mwizi hata akiwa mheshimiwa midam kaiba uheshimiwa una kaa kando ni Mwizi tu,ikumbukwe Sugu alisha dai kufanyiwa umafia na Wakina Ruge miaka ya nyuma akalalamika sana tu kuwa wame hijack project yake ajabu amesahau na ana mdhulumu kijana mdogo anaye tafuta maisha yake kwa namna ile ile.
 
Tofautisha mixtape na cover song...kwa hili sugu habebeki.
Sugu kaiba wimbo wa mr blue. Kwanza huyu jamaa (sugu) ni mnafiki na kigeugeu sana. Harakati zake za vinega/anti-virus ziliishia wapi? Aliwaacha wenzake kijiweni, yeye akala pesa za ruge..leo kachukua wimbo wa mr blue na kusema wake. Hizo harakati unazosemaga unafanya ni zipi?? Harakati za kinafiki tu.
Sugu, you're douche.
Tofautisha mixtape na cover song...kwa hili sugu habebeki.
Sugu kaiba wimbo wa mr blue. Kwanza huyu jamaa (sugu) ni mnafiki na kigeugeu sana. Harakati zake za vinega/anti-virus ziliishia wapi? Aliwaacha wenzake kijiweni, yeye akala pesa za ruge..leo kachukua wimbo wa mr blue na kusema wake. Hizo harakati unazosemaga unafanya ni zipi??
Blue n mswahili sana wimbo siyo mali yake hajalipia hata sent 1 kwenye huo wimbo! Ni mali ya chali blue kama anaona wimbo n Mali yake alete risiti simple lke that
 
huyo ADELA ambaye beka kaimba nyimbo yake ni adela huyu msanii wa huku manzese mtoto wa mama imma au ulikuwa unamaanisha ADELE??
Ndio...Ni yule wa mtaa wa Midizini karibu na kwa mzee Mpululio yule Mbena wa Njomba mkuu C.T.U
 
Mbunge ameiba tena? asalalee, huyu si ndio yule alivunja mic ya bunge...? na mzazi mwenzake si ndio yule ambaye alikua anatembea kavaa pampas? Inaonesha ni mtu wa namna gani...
 
Sugu akiri kachukua nyimbo ya Mr. Blue, ni aibu kwake yeye kwa nafasi yake ya sasa kunyanyasa mabwana wadogo kama hao.
 
Hivi mbona mnapenda kuendeshwa na hisia kwa bado hamuyaoni maelezo ya Marco na mdogo wake kwenye comment za nyuma
 
Sugu akiri kachukua nyimbo ya Mr. Blue, ni aibu kwake yeye kwa nafasi yake ya sasa kunyanyasa mabwana wadogo kama hao.
Mkuu umeshaambiwa ule wimbo haukuwa wa Mr.Blue..Mmiliki wake ni MJ RECORDS. Naona mnataka kuleta siaza zenu hapa!
 
Mkuu umeshaambiwa ule wimbo haukuwa wa Mr.Blue..Mmiliki wake ni MJ RECORDS. Naona mnataka kuleta siaza zenu hapa!
Kwahiyo MJ Records imetoa statement ama? na je ni sahihi kwa studio kuwapa wimbo mmoja wanamziki wawili tofauti? nani alikua wa kwanza kurekodi? Nadhani hapo studio inajaribu kufukia ukweli na kuficha aibu ya makosa yaliyokwisha fanyika, ona sasa kila mtu anamwona sugu kaiba wimbo wa Mr. Blue.
 
YEEEEP NAJENGA HADI HOTEL.Mishilingi na midolla.if you don't know me dont tolk home sweet home.we don't wanne be rich.yeah sugu


ma ccm yatakuja mbio.

swissme
 
Blue n mswahili sana wimbo siyo mali yake hajalipia hata sent 1 kwenye huo wimbo! Ni mali ya chali blue kama anaona wimbo n Mali yake alete risiti simple lke that
Sugu kaiba wimbo ilo ndio la msingi.. Mambo ya risiti ya nini wakati beat alipewa bure... Kama wimbo ni wa studio ungekuwa mj records featuring mr blue & sugu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom