Mr. II aibuka dhidi ya Zinduka!

Mtoto wa Kishua na Nguvumali, situation is even worse kwa wasanii wa nyimbo za injili. Nina mfano ulio hai wa jinsi gani akina dada wa nyimbo za injili wanavyosumbuliwa na Ruge.

Ukikataa kutoa penzi, basi nyimbo zako hazitasikika kwenye redio yeyote ile, labda Radio Maria.

Inauma lakini ndio ukweli nazungumza maana niliwashauri sana vijana walioshiriki kwenye Gospel Star Search wawe mbali na jamaa kuna waliosikia japo mpaka leo nyimbo zao hazisikiki na ni wazuri, kuna waliokubali kumtanulia miguu Ruge ili wapate fedha za kazi zao halali ya miziki!

Ruge is another Rostam when it comes kwenye issue za maslahi yake, is Idd Amin, rapist, I do believe his dys are numbered; Ruge ni mfalme anayetaka kubusiwa miguu, I dont get it; Ruge ana nguvu ya kumwambia mama Rwakatare kuwa nyimbo za fulani zisipigwe au zipigwe...kuna kitu hapa na tatizo la watu wabaya kama hawa huwa hawafi mapema.

I am happy umewataja akina Kipanya, fitina na mipango ya waovu huwa haidumu, wameshagombana kwa 'amani' wenyewe, ila dhambi hizi zitawafuata

I am writing with confidence kwani mdogo wangu wa kike anaonja joto ya jiwe kwa kukataa kulala na Ruge!

Big up Mr.2 hata kama atashinda kesi lakini atajua watu hawamuogopi.

Hapo umeongea ukwlei wote Ruge is so evil, huyu jamaa ndio anazidi kupanda chati, kibaya zaidi ni kwamba , Rais Kikwete kaisha mkubali sana na anampa madili makubwa, teari ile mastering studio uko chini ya RUge . hicho ni kifo cha wasanii, na shindwa kuelewa ni ukaidi wa Raisi au ni ushauri mbaya, sielewi kwanini fail la Ruge halija angaliwa na wahusika mbaka kumhusisha na Rais.
 
Swali kubwa hapa ni jee, Mr II alikuwa na Haki Miliki ya Kampeni nzima ya ZINDUKA au alikuwa na mkataba binafsi tu na NGO mojawapo shiriki ya "Malaria No more" ambayo ni NGO moja kati ya nynginezo zilizozochangia kwenye kampeni ya ZINDUKA?

Kwa mtazamo wangu ni kwamba Mr II ameng'ang'ania tu historia ya mahusiano na mkataba anaodai kuwa nao na NGO ya "Malaria No More".

Lakini kama nimemuelewa Ruge vizuri, ni kwamba tamasha la ZINDUKA limehusisha NGOs kama 4 (au 5 hivi.) Kwa hiyo hoja ya Mr II kuhusu mkataba wake na NGO moja tu kati ya hizi (yaani "Malaria No More") ambazo nazo zilizochangia kwa namna yao kwenye kampeni ya ZINDUKA haina nguvu tosha kisheria kuzuia tamasha lisiendelee kama lilivyopangwa kama alivyodhamiria Mr II baada ya kukorofishana na "Malaria No More".

Kwa hiyo ni sawa kabisa Ruge alivyoweka wazi kwamba kiukweli, kampeni ya ZINDUKA ni kubwa na pana zaidi ya mchango wa NGO mojawapo shiriki ya "Malaria No more" (Na kwa mantiki hiyo, ipo nje kabisa ya mgogoro aliyo nao Mr II na NGO ya "Malaria No More".)

Kwa hiyo Mr II amekosea kuhusisha kampeni nzima ya ZINDUKA wakati tuhuma zake za msingi mgogogoro wake kiujumla zinaelekezwa kwa mshiriki mmojawapo tu kati ya wengi kwenye kampeni hii.
 
Ili mjadala uwe mzuri msichanganye mambo. Kuna kampeni mbili tofauti ambazo zimewekwa pamoja. Kuna kampeni ya ZINDUKA- Malaria Haikubaliki. Hii ilikuwepo muda mrefu ikiwa na mashirika mengi. Malaria No More yenyewe ikawa inataka kampeni yake peke yake. Ikalazimishwa kwamba kampeni yake ya kizazi kipya ichanganywe na zinduka iliyopo, ndio mwanzo wa kuwa na kampeni ya Kizazi Zinduka!.

Hilo Tamasha la Kizazi Kipya kimsingi ni la Malaria No More, sio la original zinduka programme. Ruge atueleze amelipwa bei gani na amelipwa na nani mtaona kwamba amelipwa na fedha za Malaria No More. MNH ndio msingi wa tamasha lile, hao wengine waliakwa kushirikiana tu na walioa fedha ndogo sana.

Kwa kuwa kimsingi hizo kampeni nyingine kama Hati Punguzo nk zilishazinduliwa siku nyingi nyuma, Rais asingeweza kuzindua kampeni moja ya Zinduka zaidi ya mara moja. Kampeni ile aliyozindua Kikwete siku ile ililenga kizazi kipya na kutumia muziki wa bongo fleva kupambana na Malaria.

serayamajimbo
 
kinchi cha kusadikika hiki,kila kitu hovyo hovyo tu,haya jamani IDEA yanguu hii hapa,wananchi sasa wanakufa sana na Cancer,natafuta wadau tuandae "party'",tamasha la kutokomeza Cancer,

  • lokesheni Diamond jubilee,
  • waalikwa watakuwepo wabunge woote,wao wataingia BURE na kupewa offer ya kuchekiwa ocean road buree!
  • msio na title katika jamii,au msio na urafiki na wakuu wa mji kiingilio $100
  • malipo yatalipwa kwa dola tu!ukija na madafu exchangi reti ni 1500
  • onyesho hili ni kuonesha jamii inajali waathirika wa cancer,mapato sitaki maswali
  • ofisi ya patenti pale Basata pliz msilete magumashi.
  • contract simpo tu kwa wasanii,either with me or against me(malipo napanga mie nitakavyo)
  • sianadai kwa kutumia kampuni yangu,kuna kampuni kama nne hivi ikiwepo "onewayjourney entertainment"
By the way i have no idea what cancer is, but its a pretty darn good buzzword!
 
kumbe kama mwana JF mmoja alipoleta thread ya lile tamasha la malaria kua ni njia tu ya wasanii kupooza njaa kwani kila msanii alikua akipiga nyimbo zisizohusu malaria hata chege alitumia jukwaa lile kuintroduce single yake mpya, suala hilo limedhirika baada ya joseph mbilinyi msanii maarufu wa zamani almaaruf kwa jina la sugu kuibuka na tuhuma nzito dhidi ya joseph kussaga kuhusu kupokonywa dili dakika za mwisho la kuandaa tamasha hilo! ina maana wasanii wamekosa njia ya kuvutia watu ktk matamasha yao mpaka waje kwa gia kama izi? to make the matter worse wali mfool hadi president kudhani kua wasanii wamekuja na idea nzuri ya kusaidia jamii.
kumbe ile buku 3 pale malngoni ilikua unaingia ukumbini maana wengi tulihoji iweje tulipe?
 
Mtoto wa Kishua na Nguvumali, situation is even worse kwa wasanii wa nyimbo za injili. Nina mfano ulio hai wa jinsi gani akina dada wa nyimbo za injili wanavyosumbuliwa na Ruge.

Ukikataa kutoa penzi, basi nyimbo zako hazitasikika kwenye redio yeyote ile, labda Radio Maria.

Inauma lakini ndio ukweli nazungumza maana niliwashauri sana vijana walioshiriki kwenye Gospel Star Search wawe mbali na jamaa kuna waliosikia japo mpaka leo nyimbo zao hazisikiki na ni wazuri, kuna waliokubali kumtanulia miguu Ruge ili wapate fedha za kazi zao halali ya miziki!

Ruge is another Rostam when it comes kwenye issue za maslahi yake, is Idd Amin, rapist, I do believe his dys are numbered; Ruge ni mfalme anayetaka kubusiwa miguu, I dont get it; Ruge ana nguvu ya kumwambia mama Rwakatare kuwa nyimbo za fulani zisipigwe au zipigwe...kuna kitu hapa na tatizo la watu wabaya kama hawa huwa hawafi mapema.

I am happy umewataja akina Kipanya, fitina na mipango ya waovu huwa haidumu, wameshagombana kwa 'amani' wenyewe, ila dhambi hizi zitawafuata

I am writing with confidence kwani mdogo wangu wa kike anaonja joto ya jiwe kwa kukataa kulala na Ruge!

Big up Mr.2 hata kama atashinda kesi lakini atajua watu hawamuogopi.
Mtu Mbaya amekufa sasa....vp unajiskiaje now?
 
Happy now? Nabii, uliyetabiri kua his days are numbered! Mtu mbayaa

mwogope Mungu mkuu, nimeandika wapi?

post ya 2010, Ruge asingeishi miaka 3000! definetely angekufa kama ambavyo wewe utakufa. Ruge kafa akiwa anaumwa, ila wewe utakufa kwa ujinga, gubu na upumbavu!

watu wakikosea wanasemwa!..hatusemi ubaya wao eti ili wafe!......na wanasemwa bila kijali watakufa
 
Si ndo mana ulisema his days are numbered??? Tena ukasema kua watu wabaya hawafi.....ndo mana nikakuambia kua mtu mbaya hatimaye amekufa ..umefurahi sasa
 
Si ndo mana ulisema his days are numbered??? Tena ukasema kua watu wabaya hawafi.....ndo mana nikakuambia kua mtu mbaya hatimaye amekufa ..umefurahi sasa

umeamua kusema jambo ambalo sijaandika

watu wanaokufa ni wazuri na wabaya mkuu hata watoton wachanga wanakufa. furaha yako usihihamishie kwa wengine hatuna roho ya kufurahia misiba kwa yeyote

ni rahisi wewe kusema hivyo, maana mama yako alifariki baada ya baba yako kumchukia alipomfumania live kitandani. Majuzi na wewe umemfania mkeo live so unataka naye afe kwa sababu ya hasira. so unataka kujustify kwa wengine

we dont wish people to die no matter how good or evil are

usisahau kutembelea kaburi la mama yako
 
Ndo mana mnakumbushwaga kuweka akiba ya maneno! Ona sasa maneno yako yanavyohaunt
 
Ndo mana mnakumbushwaga kuweka akiba ya maneno! Ona sasa maneno yako yanavyohaunt

sawa, ila bila aibu umesingizia mkuu

mama yako alizikwa wapi? kinondoni au upenuni mwa nyumba yenu?

usisahau kulikagua kaburi

mimi nakunyoosha, umekanyaga siko

just wait and see
 
sawa, ila bila aibu umesingizia mkuu

mama yako alizikwa wapi? kinondoni au upenuni mwa nyumba yenu?

usisahau kulikagua kaburi

mimi nakunyoosha, umekanyaga siko

just wait and see
Nimekusingizia ama nimekuquote kwnye thread ya 2010???

Jifunze kuweka akiba ya maneno. Ona sasa unavyopata maruwe ruwe na nightmares
 
Ndo mana mnakumbushwaga kuweka akiba ya maneno! Ona sasa maneno yako yanavyohaunt

ingia jukwaa la celebrities uone thread za Ruge kama zina tofauti na nilichoandika mwaka 2010😂😂😂

I narrated the story and facts, miaka tisa baadae bado watu wanaandika kile kile

ulichobugi ni kuniwekea maneno ambayo siku yaandika na umeamua tu

well

hata mtoto wako alipokuibia sh 100 usimtakie kifo mkuu

au na yeye unataka afe??
 
ingia jukwaa la celebrities uone thread za Ruge kama zina tofauti na nilichoandika mwaka 2010

I narrated the story and facts, miaka tisa baadae bado watu wanaandika kile kile

ulichobugi ni kuniwekea maneno ambayo siku yaandika na umeamua tu

well

hata mtoto wako alipokuibia sh 100 usimtakie kifo mkuu

au na yeye unataka afe??
Again! Jifunze kuweka akiba ya maneno.
 
Nimekusingizia ama nimekuquote kwnye thread ya 2010???

Jifunze kuweka akiba ya maneno. Ona sasa unavyopata maruwe ruwe na nightmares

mbona simple?'uki quote nilipoandika 'his days are numbered'' sitakubugudhi tena

ila kama hilo neno sikuandika, lengo lako ni nini? maana ubaya wa Ruge kila mtu anausema..na nilisema alichomfanyia mdogo wangu, kosa liko wapi?

haujasema unaenda lini makaburini?
 
Back
Top Bottom