TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

R.I.P. Mr Ebbo

Am always ur No. 1 Fan

Napenda sana ile track ya Maneno Mbof Mbof
 
Poleni sana wafiwa, Mwenyezi Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu.

Bwana alitoa na bwana ametwaa.....RIP Mr E.
 
R.I.P. Mr Ebbo

Am always ur No. 1 Fan

Napenda sana ile track ya Maneno Mbof Mbof

Albamu nzima ya 'Fahari Yako' yenye wimbo huo ni kati ya albau bora kabisa za huyu legend. Haiwezi kuchuja. Alikuwa hajaanza kuimba katuni bado.
 
Dah!.. camini aisee, jamaa ha2nae tena. Mungu ailaze roho ya marehemu, mahali pema peponi, Amin.
 
Gone but will never be forgotten. Your music will forever be with us!

RIP Mr Ebbo!
 
Kweli inacktisha sana kumpoteza mtu kama huyu hivyo inatupasa watu wote kutambua dunia ni njia 2napita na hatuna budi kumrudia mwenyezi MUNGU.
 
Naona amekufa siku moja baada ya kusherehekea siku ya ugonjwa uliomuua!
 
Back
Top Bottom