Mr Bernard Membe Addressing the 67th session of the United Nations General Assembly in New York

jmushi1, si anataka kuwa kama akina Kaunda, Nyerere, Nkrumah hata kabla hajapitishwa na NEC.
Nimesoma tena na tena naona ameorodhesha matatizo ya Afrika na kidogo Tanzania, sijaona suluhu.
Kama ameweza kuongelea CUBA vipi Syria? Halafu ana moral authority gani ya kuongelea human right! haogopi hata mizimu kumfuata huko New York! Human right? Ipi ya Nchimbi na kamati za harusi, ya kova na Malundi, ya Kamuhanda!

Ile ni skeleton, did not see red meat in it!
Hapa ndipo tunawakumbuka akina Nyerere, Khama, Indira, Tito, Nasa, Mahathir n.k.

Yeye akikazana kujikwamua na kitanzi cha Radar, kile kitammaliza kabla hajavaa gloves.
Lile ni donda ndugu na ninadhani atazama nalo. Radar ndiyo kioo cha uadilifu wa Membe, hotuba ya UN ni pambio tu.
 
Nothing new. Wamemaliza shughuli, wakuosha vyombo wanaosha vyombo, wa kupitiaa shopping ndo haoooo.. Wakuandika per diem ni mchakamchaka ili mradi mambo bambam, the party is over. Waiting another movie.
 
Ukisoma kitabu kiitwacho, ANIMAL FARM utagundua kuwa kumbe watanzania wote ni sawa ila kuna wengine wako zaidi ya sisi wote watanganyika. Hebu tazma maisha na mavazi ya bernard Membe na mkewe halafu kumbushia maisha ya dhiki ya ajabu ya wazee wa Igunga yalivyo oneshwa katika picha . Mzee Membe anng'ara na suti wakati asilimia 100%ya wangoni hawana kazi!

Angalia jinsi hao maofisa wa kibalozi wanavyotanua, hali zao za kimaisha hazilingani kabisaaa na maisha ya mtanzania wa Igunga. Jamani kweli tunajenga nchi au kutambiana tuu ?

Ulitaka wavae nguo chafu? Sijapata point yako.. Unataka nini haswa?
 
Duh!Yani kuanzia ndani hadi nje anapongezwa tu.Na wakati picha nyingine ni kama tu photo opp.Kama hizo picha nyingine za nje bado tu anapongezwa lol!Anyways inaonekana walikuwa so excited na hiyo wanayoiita statement,ngoja niitafute niisome.

BTW naona hizi kama mbio za urais.Ndo chaguo la JK huyu?Halafu msafara mkuubwa,wabongo bana,na umasikini wa wananchi lakini wapi!

Wanajipendekeza wanajua huyu ndio rais imekula kwao
 
jmushi1 na Nguruvi3,
Asante kwa analysis zenu. Mimi sikupoteza muda kuisoma, na mara ya mwisho nimesikiliza hotuba za Tanzania UN ilikuwa 2009 pale Kikwete alipokuwa anawaomba wafadhili wasaidie kuleta ajira kwa vijana wetu. Hata ajira limekuwa ni jukumu l wafadhili? I stopped listening.

Jasusi;
Acha kususa fanya kama vile unamsikiliza Mitt utapata machache yenye mvuto; tatizo la ajira ni la nchi zote za dunia ya tatu halipo kwa Tanzania tu; si vibaya ukasiliza utwezaje kukosoa na kutoa ushauri ikiwa huwasikilizi?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
some quote

"The involvement of the Former Presidents of
Tanzania, the late Mwalimu Julius Nyerere and Benjamin William Mkapa as well as President Kikwete, in these processes is a clear testimony of our continued commitment to preventive diplomacy," he said.But as the proverbial adage goes, no medicine man can treat himself, Tanzania too this time around, has a hotly brewing border dispute with neighbouring Malawi, which could end up at the International Court of Justice (ICJ), the UN organ for settling global disputes, basing basically on the norms of international law.
 
ufupi noma ehee, hata kama wale ze comedy east africa wanasema fupi tamu ndefu inakera....poleni watani zangu wafupi...h
 
Hahaha ubungoubungo umenifurahsha mtu mfupi anamatatizizo kwa kuwa moyo na mfuko wa mavi zimekaribiana ndo mana...dhaifuuuu membe
 
Hiyo ndio kazi ya waziri, JK anatakiwa awaachiche wahusika waende wenyewe, mfano mkutano wa mambo ya afya anakwenda waziri husika, chakula hivyo hivyooooo
 
Jasusi;
Acha kususa fanya kama vile unamsikiliza Mitt utapata machache yenye mvuto; tatizo la ajira ni la nchi zote za dunia ya tatu halipo kwa Tanzania tu; si vibaya ukasiliza utwezaje kukosoa na kutoa ushauri ikiwa huwasikilizi?

Chama
Gongo la mboto DSM
Mitt atleast anaweza kusema(hata kama watu hawakubaliani),kuwa we are going to do so and so to create jobs.Umeona lolote hapo kwenye statement lenye kuzungumzia hilo?Yeye amezungumzia poverty,unadhani job creation siyo part of the solution kuondokana na umasikini?

Namuunga mkono Jasusi,hana haja ya kuisoma,nadhani yeye ana uzoefu mwingi zaidi na hizi hotuba za UN.Mimi sina,lakini nilitegemea kuona statement yenye kuprovide solutions ama hata mapendekezo/ideas.Badala yake ni yale yale tu ya bakuli na huku mambo ambayo yanaweza kutuondoa kwenye umasikini(rasilimali zetu)hayajatajwa.Hayo ni mambo yao ya private?
 
kUMBE NA MAWAZIRI SIKUHIZI WAKIENDA NJE YA NCHI KWA SHUGHULI ZA KISERIKALI WANAAMBATANA NA WAUME/WAKE ZAO???? HADI VIJANA WA WIZARA WAPO KUTANUA TU!!!
 
Jasusi;
Acha kususa fanya kama vile unamsikiliza Mitt utapata machache yenye mvuto; tatizo la ajira ni la nchi zote za dunia ya tatu halipo kwa Tanzania tu; si vibaya ukasiliza utwezaje kukosoa na kutoa ushauri ikiwa huwasikilizi?

Chama
Gongo la mboto DSM
Chama,
Ni kweli tatizo la ajira ni la nchi zote lakini kila nchi inao wajibu wa kujiwekea sera za kuhakikisha ajira inapatikana. Sijawahi kusikia nchi yeyote, hata hizi zetu za Kiafrika, zikiwaomba wafadhili wasaidie kuleta ajira kwa vijana. Tanzania tumekuwa nchi ya ajabu katika awamu hii ya Kikwete. Hata meli ya kulinda mwambao wetu tulimwomba Hillary atuletee.
Kweli na madini yote tuliyo nayo hatuwezi kununua meli ya kulinda mwambao wetu? Ajira ni wajibu wa kila serikali kuweka sera zitakazohakikisha uchumi unapanuka na kutoa fursa za kazi, si kitu cha kuomba nje.
 
Ukisoma kitabu kiitwacho, ANIMAL FARM utagundua kuwa kumbe watanzania wote ni sawa ila kuna wengine wako zaidi ya sisi wote watanganyika. Hebu tazma maisha na mavazi ya bernard Membe na mkewe halafu kumbushia maisha ya dhiki ya ajabu ya wazee wa Igunga yalivyo oneshwa katika picha . Mzee Membe anng'ara na suti wakati asilimia 100%ya wangoni hawana kazi!

Angalia jinsi hao maofisa wa kibalozi wanavyotanua, hali zao za kimaisha hazilingani kabisaaa na maisha ya mtanzania wa Igunga. Jamani kweli tunajenga nchi au kutambiana tuu ?

Hivi kweli wewe ama huyo mwananchi wa Igunga mkienda arusini au kwenye pati hamvai vizuri? ulitaka membe avaeje jamani? lazima avae suti hata kama ni mimi ningeupara hata kama ni suti ya kuazima. Acheni jamani tuache kijicho.
Tupige vita rushwa na ufisadi siyo kuwa na wivu. DUNIANI KOTE watu lazima watawaliwe, na watawala zaidi ya kupeta, wanatumia vichwa vyao, nina uhakika zamu yako itafika.
 
The Minister for Foreign Affairs and International Co operation, Mr Bernard Membe, has underscored the importance of "Preventive Diplomacy" in resolving raging global conflicts.

Bernard-Membe.jpg

The Minister for Foreign Affairs and International Cooperation, Mr
Bernard Membe

Addressing the 67th session of the United Nations General Assembly in New York , a speech for which was obtained in
Dar es Salaam, Mr Membe said Tanzania welcomed the many initiatives undertaken at national, regional and international levels in promoting dialogue rather than quickening feet to draw swords whenever nations disagreed.

"We meet here amidst upheavals of unprecedented scope characterized by multiple intra and inter-state conflicts in the world, a time of emerging and worsening conflicts, most of which are taking place in Africa and the Middle East," Mr Membe said referring to last year's Arab Spring Revolution and the raging civil war in DR Congo that has claimed thousands of lives.

Mr Membe was addressing the august global assembly on behalf of President
Jakaya Kikwete whom he said: "Could not attend this session due to other equally important engagements (at home)." The Minister also applauded the theme of the General Debate: "Bringing about adjustment or settlement of international disputes or situations by peaceful means."

For 50 years of Independence, Mr Membe said,
Tanzania has witnessed and appreciated the effectiveness of preventive diplomacy and has even participated in the region and the continent such as in Burundi, Ivory Coast, the Democratic Republic of Congo (DRC) and Kenya.

"The involvement of the Former Presidents of
Tanzania, the late Mwalimu Julius Nyerere and Benjamin William Mkapa as well as President Kikwete, in these processes is a clear testimony of our continued commitment to preventive diplomacy," he said.But as the proverbial adage goes, no medicine man can treat himself, Tanzania too this time around, has a hotly brewing border dispute with neighbouring Malawi, which could end up at the International Court of Justice (ICJ), the UN organ for settling global disputes, basing basically on the norms of international law.

The country has sent clear message that it wants the matter settled amicably without the need to resort to a military show down. "Mr President, we are all too aware of the dire consequences of conflicts particularly when all mechanisms provided in the Charter of the United Nations for resolving conflicts fail to find a permanent solution and lasting peace," Mr Membe said and added: "The situation in Syria is a case in point. It is important that we find ways of strengthening the early warning mechanisms and prevent conflicts before they occur," he stressed.

While facilitating dialogue, he said, it was important that nations uphold the principles of impartiality, objectivity and respect of international law. The unity of the entire UN membership, he emphasised, was crucial in ending impunity and human rights violations wherever they occur. "In whatever case, we should not pursue anything that would encourage parties in conflict to resort to armed solution instead of dialogue," he stressed.

"The Pacific Settlement of Disputes as provided under Chapter VI of the United Nations Charter has never been so pertinent," he said and added: "In the interest of maintaining peace and security, we should learn to keep our differences aside and not allow them to create divisions among us. I believe your Presidency will guide us towards this direction."

Last June, the General Assembly elected former Serbian Foreign Minister, Vuk Jeremic, as the President of the current 67th session of the UN's highest body, a first from the Eastern European Group (EEG), one of the smallest regional groupings in the world.Mr Membe also took the occasion to congratulate him "for his well-deserved election" as he also saluted the Secretary General, Mr Ban Ki-Moon and the entire secretariat for their service to the UN.

Mr Membe also said Tanzania, together with the other 12 member states of the Southern African Development Community (SADC), have agreed to establish an International Neutral Force comprised of 4,000 troops to keep the peace in DR Congo "where rebel groups such as the M23 are destabilising and threatening peace and security of the entire region," he said."Through the African Union (AU), we are taking necessary steps to ensure that the deployment of this International Neutral Force in eastern DRC gets the mandate of the United Nations," he said.

Likewise, he said, Tanzania will work assiduously with other SADC member states to support the return to constitutional normalcy in Madagascar and the finalisation of the new constitution in Zimbabwe, which will open the way for democratic elections by June, 2013."We will proceed in this endeavour with the firm belief that a solution in both countries will finally be achieved through effective and constructive engagement of all parties concerned," he concluded.

View attachment 66496

Hi ndo hotuba ambayo kila mtu anampongeza? mbona it is short of content?????
 
Mitt atleast anaweza kusema(hata kama watu hawakubaliani),kuwa we are going to do so and so to create jobs.Umeona lolote hapo kwenye statement lenye kuzungumzia hilo?Yeye amezungumzia poverty,unadhani job creation siyo part of the solution kuondokana na umasikini?

Namuunga mkono Jasusi,hana haja ya kuisoma,nadhani yeye ana uzoefu mwingi zaidi na hizi hotuba za UN.Mimi sina,lakini nilitegemea kuona statement yenye kuprovide solutions ama hata mapendekezo/ideas.Badala yake ni yale yale tu ya bakuli na huku mambo ambayo yanaweza kutuondoa kwenye umasikini(rasilimali zetu)hayajatajwa.Hayo ni mambo yao ya private?

jmushi1;
Sera ya serikali kilimo kwanza lengo lake ukiachilia mbali kujitoleza kwa chakula lengo kuu ni kuongeza ajira kwa vijana nawashauri makamanda msio na ajira changamkieni tenda

Chama
Gongo la mboto DSM
 
jmushi1;
Sera ya serikali kilimo kwanza lengo lake ukiachilia mbali kujitoleza kwa chakula lengo kuu ni kuongeza ajira kwa vijana nawashauri makamanda msio na ajira changamkieni tenda

Chama
Gongo la mboto DSM
Tenda gani?
 
Chama,
Ni kweli tatizo la ajira ni la nchi zote lakini kila nchi inao wajibu wa kujiwekea sera za kuhakikisha ajira inapatikana. Sijawahi kusikia nchi yeyote, hata hizi zetu za Kiafrika, zikiwaomba wafadhili wasaidie kuleta ajira kwa vijana. Tanzania tumekuwa nchi ya ajabu katika awamu hii ya Kikwete. Hata meli ya kulinda mwambao wetu tulimwomba Hillary atuletee.
Kweli na madini yote tuliyo nayo hatuwezi kununua meli ya kulinda mwambao wetu? Ajira ni wajibu wa kila serikali kuweka sera zitakazohakikisha uchumi unapanuka na kutoa fursa za kazi, si kitu cha kuomba nje.

Jasusi;
Lengo kuu la kilimo kwanza ni kupunguza ukosefu wa ajira; vijana wasio na ajira wanapaswa kuelemishwa ajira si viwandani; kosa ni pale tulipojisahau kuendeleza sera za kilimo zilizoanzishwa na serikali ya awamu ya kwanza hilo nitakubaliana nawe; kutenda kosa si kosa kosa ni kurudia kosa; serikali inapaswa kuisimamia na kuhakikisha kilimo kwanza inafanikiwa.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Tenda ya kilimo kwanza; mjishughulishe na shughuli za kilimo ili kuleta mapinduzi ya kiuchumi

Chama
Gongo la mboto DSM
Huna taarifa kwamba mbolea inaliwa na mafisadi?Ndo hayo ambayo hakuyasema kuhusiana na MDG.Ufisadi ni kikubwa kinachokwamisha everything.Si kwenye kilimo si kwenye uwekezaji.Alizungumzia hilo?
 
Ninajiuliza inapotokea Makamo wa kwanza wa SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA anapotembelea Tanzania Bara na kupokelewa kwa heshima zote ikiwemo na kupigiwa saluti je Katiba yetu inakitambua cheo hicho? Wajuzi wa Katiba /Sheria naomba ufafanuzi.
 
Back
Top Bottom