Mr Bean wa Bongo

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,482
14,346
Huyu jamaa namkubali sana katika Comedy za kibongo hapa kwenye track ya hussein machozi kafunika ile mbaya.



Akaja hapa kwenye video ya Iveta ya msanii Sajna akaipendezesha video na ikatokea kupendwa saana kutokana na uwepo wake



Kwenye starehe gharama ya Tunda Man akajitokeza sana na kuifanya video ionekana imekaa njema



JAMAA ANAJULIKANA KWA JINA LA MBOTO.. NAMKUBALI SANA
 
Last edited by a moderator:
Huyu Jamaa, hana lolote vituko anavyofanya sio ubunifu isipokuwa anaiga tu. Kama Unataka Kujua Kama hana lolote ktk comedy muangalie ch10 ktk vituko show na kitimtim utagundua yeye ndiye anayeboa sana hadi naona sikuhizi hawampi tena script. Kwa Ujumla huwa namkubali sana King Majuto maana anajua haswa anachokifanya huyo ndiye unaweza kumfananisha na Mr. Bean sio Mboto.
 
Mboto msanii mzuri. Alianzia kwenye 'MIZENGWE' ya ITV, sijajua kwa sasa anaigiza na kundi gani!
 
Back
Top Bottom