Mr Ashraf

Ashraf mohamed

New Member
Mar 4, 2012
2
0
Ninauza simu ya blackberry curve 8520 na htc innovation ambazo zimetumika kidogo lakini bado ziko fresh kwa sh' 350,000 kila moja. na nyengine aina ya samsung toco mpya kwa sh' 250,000.kutoka Uk zitafika bongo Jumatatu nipigie simu namba hii 0777435233
 
Eh curve 8520 kwa sh 350,000 haya maajabu ya firauni.. Huku bongo pesa haziokotwagi bingwa jipange tena
 
Back
Top Bottom