Ochu
JF-Expert Member
- May 13, 2008
- 975
- 47
LIYUMBA amchukue SHIVJI sidhani kama hii kesi itakaa zaidi ya miezi 2 mahakamani
this is ridiculous utamwambiaje mtu aweke dhamana nusu ya pesa aliyoitia hasara serikali wakati hakuna mahakama iliyomtia hatiani kwatuhuma za huo wizi in the first place?
mwanzo i thought hawa jamaa wanafanya DOUBLE JEOPARDY lakini i was wrong what we see here ni close to it
mimi niko ok na watuhumiwa kushitakiwa na no matter how much nitakuwa nina tofauti na watuhumiwa i still believe they deserve to have equal treatment under the law
what we see here is LAW OF THE JUNGLE at play
hakuna zaidi jamaa wanataka kuprove a point ambayo haipo na kuendesha kesi based on feelings ni wrong
liyumba haonewi wala nini bali kila anachofanyiwa ni kulingana na sheria...labda tulalamikie kuwa sharia ni mbovu