MPYA kutoka tcu leo leo

gbrother

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
408
51
Wale wote ambao wamechaguliwa vyuo/course ambazo hawajaomba kwa mujibu wa afisa wa tcu akitutangazia baadhi ya wanafunzi tuliofika tcu makao makuu, leo jioni watatoa taarifa kwa watu hao ili waconfirm kama wanataka course na chuo walichopangwa, kama hawataki watapewa maelekezo ya kufanya.
Kuna watu wengi sana tumepelekwa ifm accounting wakati sio chaguo letu.
Ikitoka jamani tupeane taarifa.
 
polen sana wapendwa.........je vip kama m2 anataka kubadilisha chuo...kwa 7bu wamempeleka chuo cha private ambacho hawez kulipa ada ya nyongeza inayobakia baada ya kupewa mkopo wote? kwan iko juu sana....msaada tafadhali jamani maana nshapaniki!!!!
 
asanteni wadau, kama vipi nenda tcu kuna form maalum ya kujaza matatizo ambayo unayo, wanapokea watu vizuri tu, nadhani watakupa ushauri zaidi.
 
tujaribu kuwa tunaenda ofsi husika bdala ya kuwa tunapandishana pressure humu JF, kama una nafasi ya kwenda ofsi husika nenda ukapate majibu yenye kukidhi kiu yako, kulalamika na kutukana JF bila kuwaona wahusika wenyewe ni kazi bure tu,tafuta vyanzo vya matatizo yako ambavyo vinaaminika,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom