Mpya kcmc soma!

DODOSO REFU

Member
Sep 16, 2012
12
0
Hatimaye chuo cha KCMC kimeongeza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga hapo baada ya awali majina hayo kutokuwepo.Kutazama jina lako log in kwenye web ya chuo ujionee.Ahsanteni tumsubiri heslb.
 
mbona siyaoni mkuu
 
Kuna dalili za kukurupuka hapa. Habari mpya ni kuwa zipo nafasi za undergraduate kwa wanaopenda kuomba sasa. Huyu kaona tu heading akaja kupublish hapa. Hayo majina hakuna.
 
No guys the names r there sijakurupuka nimekuwa nikiwasiliana na tcu na kcmc tangu last wiki,ni kweli kuna nafasi za maombi mapya ila log in kwenye web ya chuo angalia selected undegraduate for direct entry 2012/2013 ndani utacheki kwenye kozi yako na utakuta majina yameongezeka.PIGA 0272753616 OMBA KUONGEA NA ADMISSION OFFICE ULIZA SHIDA YAKO HALAFU NIPE MAJIBU.Ahsante.
 
Yuko dogo yeye tcu wanaonyesha amepata Bachelor of SCIENCE IN PROSTHETICS AND ORTHOTICS... lakini mpaka sasa wako 17,hajaongezeka mtu! Labda kama imefanyika kwenye course nyingine!

Thanks
 
Yuko dogo yeye tcu wanaonyesha amepata Bachelor of SCIENCE IN PROSTHETICS AND ORTHOTICS... lakini mpaka sasa wako 17,hajaongezeka mtu! Labda kama imefanyika kwenye course nyingine!

Thanks

kweli!
 
Time is running fast. Naomba apige namba niliyotoa hapo juu ya admission kcmc awaulize kulikoni. Fanya fasta alafu nipe ripoti hapa.thanks
 
Back
Top Bottom