Mpya kali kutoka Malawi: President wants Protestors to pay

Gad ONEYA

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,630
168
President Bingu wa Mutharika set a price for those who want to hold a peaceful demonstration at between $13,000 to $30,000, prompting serious protests from the opposition and civil society. He argued that the money would be used in paying for damages caused by vandalism triggered by demonstrations.
The the order was unconstitutional, President Mutharika said he would ask legislators to find a way of making his new order a law in Malawi.


= My opinion; This idea is sinister, and I am afraid people with ranks like Chiligati and co may wish to emulate these ideas aimed at thwarting parallel parties that makes CCM sweat on their toes without a break! We have seen it before, where an unconstitutional law was enacted so that any candidate who wished to challenge election results was required to deposit a lump sum of 5m. Its repercussions are known to us all keen pundits.
What do think JF members
 
Mbona Malawi vituko haviishi ? juzi kati walitaka kuleta sheria ya kutojamba hadharani lol!
 
Bingu nahisi something wrong akilini mwake au mwilini kama katamka hayoo maneno kweli....lol
 
Bingi Wamutharika kamzidi kidogo JK kwa vituko maana yeye anau-Professor wa heshima toka chuo flan cha China. Sijui kwa nini JK hawampi u-professor wa heshima ili azidishe vituko.
 
mimi nahisi hawa marais wetu wa afrika wanapata ushauri kutoka kwa waganga wa jadi.....loh.




hawa marais wawe wanatangazwa uwezo wao wa akili wakati wa u-candidate tu.
 
Wengine hata wakipewa uprofesa wa heshima uwezo wao wa kufikiri hauwezi kupanuka zaidi ya madaraka wanayoyapenda!
 
lol hii ni kubwa mmh yaani hiyo yote ni kutaka kuzuia maandamano kwa njia yeyote..
 
lol hii ni kubwa mmh yaani hiyo yote ni kutaka kuzuia maandamano kwa njia yeyote..

Hawa jamaa wamefikia hatua ya kuona wananchi wanaoandamana kuwa tishio dhidi ya ulaji wao. Wanatoka kuongoza mazezeta na wanoimba sifa zao nzuri tu!
 
Huyu Bingu wa Mutharika ni kituko kwey kwey. Anaweza kumpiku hata Mkwere. Alitumia multi-milions of dollars kujenga kaburi (Mausoleum) alipomzikia mke wake.

Marais waliohudhuria uzinduzi wa mausoleum hiyo Rupiah Banda wa Malawi na Kikwete. Hao wawili tu.
 
Back
Top Bottom