by default
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 839
- 215
Mh jamani kwa kweli nampa pole sana, But kama anataka kupandikiza, Hospital ipo masaki nadhani awe na kiasi cha dola 3000 tu ili apandikizwe mbegu na apate mtoto . Kuhusu mbegu sijui kama wanazo pale au unaenda na mwanaume wa mbegu.
duh pesa yote hiyo mbegu inaweza kuwa safi wadudu awajashambulia ,je ardh ikiwa mbaya na mbegu ikagoma kuchpuka watarudsha japo nusu