Mpwa wangu anatafuta mume wa kuzaa naye!

Ni mtoto wa kaka yangu, na amezaliwa na kukulia Dar, mimi sikuwa karibu naye na ni msiri sana. Nimekuwa nikizungumza naye mara kwa mara lakini sio muwazi na hiyo ilitokana na yeye kujiwekea mipaka.

Amesoma hapa nchini na nje ya nchi katika moja ya nchi za Scandinavia na sasa ni mwajiriwa serikalini. Sina uhakika sana umri wake lakini naamini ana zaidi ya miaka 40. Hivi karibuni nilishikwa na udadisi na katika mazungumzo na shemeji yangu,(mama yake) alinijulisha kwamba hata yeye na kaka yangu wanashangaa binti yao kutoolewa au hata kupata mtoto. Anakiri kwamba hawajawahi kumuona na mwanaume na hana mashoga wanaofika hapo nyumbani.

Nilimdadisi iwapo waliwahi kumuuliza kuhusu kuolewa, shemeji akanijibu kwamba waliwahi kumuuliza na akajibu kwa kifupi kwamba hajapata mume na kipata atawajulisha. Lakini tangu siku hiyo akawa hana raha na akawaambia wadogo zake kwamba wazazi wamememchoka na sasa wanamnyanyasa. (anao wadogo zake wawili wa kike ambao wameshaolewa na kuzaa)

Nilitoa wazo kwamba wamshauri japo apate mtoto, ushauri ambao aliukubali kwa mikono miwili, lakini ni nani wa kuzaa naye?

Nimeshauri hatua ya kwanza ahame hapo nyumbani akapange mbali na nyumbani ili awe huru na hapo atakuwa na fursa ya kupata mwanaume japo wa kuzaa naye. Amekubali na sasa anatafuta nyumba ya kupanga.

Lakini yuko worried kama atapata mwanaume mwaminifu ambaye sio mume wa mtu japo wa kuzaa naye tu basi. Ila swali lake aliuliza iwapo hapa nchini kuna uwezekano wa kufanyiwa IFV badala ya njia ya kujamiiana. Hilo sina uhakika nalo na ndio maana nimekuja hapa kutafuta ushauri..
King'asti , BADILI TABIA , gfsonwin , Yummy , nyumba kubwa , Nehondo , MwanajamiiOne , marrykate , AshaDii , NATA , FirstLady1 , TaiJike , na wengineo ambao sijawataja, naomba msaada wenu ili nimsaidie mpwa wangu

Inaelekea anataka auziwe mbegu au vipi? Kama pochi ipo sawa kwangu after all huwa nazimwaga bure kwenye mashuka hasa kipindi hichi nilichokuwa mbali na mama watoto. Biashara hiyo haitakuwa na mmoja wetu atakaefungika na mwenziwe.
 
Mkuu hata yeye ameonekana kuridhia wazo la kupata mtoto, na mwezi uliopita nilikuja nDAR kikazi na mke wangu na alizungumza naye kwam kirefu akamweleza kwamba anapenda sana apete mtoto lakini wanaume wanamuogopa, sijui kwa sababu ya umri!

Wanaume wanamuogopa kwani ana mapembe? Watu wamemzalisha Malkia wa Uingereza huyu mwanamke gani anayeogopwa na wanaume?
 
hata hiyo ya njia za asili yukom pouwa lakini kupima ukimwi ni lazima

hapa i guess atakuwa katega 'k' anajisomea gazeti la 'woman weekly' halafu baadaye anauliza kama ushamaliza kuingiza mtoto teh teh teh...
 
hana hela bana mbona unafanya biashara sasa....... hata hiyo ya njia za asili yukom pouwa lakini kupima ukimwi ni lazima
Kiongozi kama hana hela huyo mtoto anayetaka azalishwe atamtosheleza vipi?.....kama vipi mwambie ampende mtu gafla bana au ant social?...wanazaa machizi town itakuwa yeye na maisha yake bana,napata mashaka kuna zaidi ya hili unapaswa kutujuza kuhusu huyo mpwa wako mkuu.
 
Inaelekea anataka auziwe mbegu au vipi? Kama pochi ipo sawa kwangu after all huwa nazimwaga bure kwenye mashuka hasa kipindi hichi nilichokuwa mbali na mama watoto. Biashara hiyo haitakuwa na mmoja wetu atakaefungika na mwenziwe.
hana hela anataka charity
 
Kiongozi kama hana hela huyo mtoto anayetaka azalishwe atamtosheleza vipi?.....kama vipi mwambie ampende mtu gafla bana au ant social?...wanazaa machizi town itakuwa yeye na maisha yake bana,napata mashaka kuna zaidi ya hili unapaswa kutujuza kuhusu huyo mpwa wako mkuu.
lipi unataka kujua mkuu, kuwa particular
 
hapa i guess atakuwa katega 'k' anajisomea gazeti la 'woman weekly' halafu baadaye anauliza kama ushamaliza kuingiza mtoto teh teh teh...
Unajua hapa sitarajii masihara kutoka kwa Ma-Great Thinker. Nilikuja hapa nikiamini kabisa kwamba nitapewa ushauri wa maana ili nimsaidia mpwa wangu. cartura naomba utani uweke pembeni hutapoteza chochote ukitoa ushauri wako mzuri na mungu atakubariki milele daima
 
Sio mtu wa kujichanganya kabisa, yaani sijui ni malezi, maana wazazi wake ni watu wa dini na wamewalea watoto wao kwa maadili ya hali ya juu sana. Kuna siku nilimuomba tutoke out, duh! alipinga sana na toka siku hiyo akawa hapendi kuongea na mimi kama zamani. mama yake kanishauri nimsaidie na nilimshauri ajiunge na JF akasema hana muda ila anapenda sana kusomamagazeti ya nje maana hata mimi namletea magazeti kama Hello, Woman Weekly, OK nk

from what you have narrated, huyu dada anamatatizo makubwa tena ya kisaikolojia, wala siyo kwamba hapati wanaume bali anawachukia wanaume na hatak kutoka kwan hapend kupata company. sasa huyu zake unampeleka pale calabash anakutana na fujo za wale vijana wa fb mara 2 tu saikolojia itarudi manake atakutana na vijana wanajiimbia tu pale rege zao huku wakipiga bia zao ndipo atakapogundua kuwa life is nothing but only happiness.

atakuwa alishawah kuwa na rafiki huko nje na akamtenda so akajenga -ve atitude. nikuulize swal la kizushi ni msabato huyu mdada? tena anasoma magazeti hyo ya nje ndo kabisa mwambie hawez kukuta huko aktumiwa salam na hao aliokuwa nao huko nje kupitia magazeti hayo.

mlete kwangu for referal but nachaji bei ghali kidogo kwa ajili ya ushauri
 
Ok,kwangu mimi nilidhani ni deal,lakini inavyoonekana kuna swala la mapendo hapo...powah ngoja niwaachie waungwana wenye mapendo yao wajimwayemwaye kwanza.
 
wajomba wa siku hizi na tabia ya kuwatafutia vidume wapwa zao lol

Hapo sasa, mengine hata hayahusiki.

Inanikumbusha ule wimbo wa watoto wa kiswahili wa Maandazi Road.

"Mjombaaaaa, mjombaaaa, kwenda (sijui nini nini, nini) mjombaaa, akaniomba, akanit..."

Mtoto wa kike mara mia hata angekuja shangazi yake au ma mdogo.
 
from what you have narrated, huyu dada anamatatizo makubwa tena ya kisaikolojia, wala siyo kwamba hapati wanaume bali anawachukia wanaume na hatak kutoka kwan hapend kupata company. sasa huyu zake unampeleka pale calabash anakutana na fujo za wale vijana wa fb mara 2 tu saikolojia itarudi manake atakutana na vijana wanajiimbia tu pale rege zao huku wakipiga bia zao ndipo atakapogundua kuwa life is nothing but only happiness.

atakuwa alishawah kuwa na rafiki huko nje na akamtenda so akajenga -ve atitude. nikuulize swal la kizushi ni msabato huyu mdada? tena anasoma magazeti hyo ya nje ndo kabisa mwambie hawez kukuta huko aktumiwa salam na hao aliokuwa nao huko nje kupitia magazeti hayo.

mlete kwangu for referal but nachaji bei ghali kidogo kwa ajili ya ushauri
Ni mkatoliki....... mengine nitaku PM
 
I would seal that deal kama ningekua bongo, anyway best of luck to her.. IVF sijui kama bongo ipo ila Kenya wanayo najua mtu alienda fanya hivyo kenya so kama hatojali avuke boarder tu.
 
Back
Top Bottom