Quemu
JF-Expert Member
- Jun 27, 2007
- 984
- 128
Nina mpwa (kike) wangu ambaye yuko Form III. Tatizo performance yake darasani inashuka kila siku. Mwanzoni alikuwa ana perform vizuri sana darasani. Lakini kadri anavyozidi kukua ndivyo grade zake zinavyozidi kuwa "D's" na "F's". Na sasa, mwalimu wake mkuu amemwambia kuwa inabidi arudie Form III (kitu ambacho ninapinga kwa nguvu zote) mwakani.
Nimetoa wazo apelekwe kwenye counseling service. Pengine itasaidia. Ila katika familia yangu, hakuna anayejua kama kuna hiyo service Bongo.
Je kuna therapist(s) bongo?
Nimetoa wazo apelekwe kwenye counseling service. Pengine itasaidia. Ila katika familia yangu, hakuna anayejua kama kuna hiyo service Bongo.
Je kuna therapist(s) bongo?