Mpumbavu HUSHAURIWA Kipumbavu

Eng. Y. Bihagaze

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
1,488
908
Ukiwa kiongozi, ukajifanya mwerevu Na kupuuza ushauri wa watu wako wenye hekima, Na kujifanya unajua kila kitu, Basi Hao washauri wazuri lazima wakukimbie Na utabaki unazungukwa Na washuri matakataka.. Na hata ukitaka ushauri kutoka Kwa wale uliowapuuza Mwanzo, kizuri watachokushauri ni UPUMBAVU Na Utajikuta unatenda UPUMBAVU..

Hata ukigoma kusikia SIKIA..
 
Mara nyingi mpumbavu huwa hajui ni mpumbavu na mara zote huona washauri wake ndo wapumbavu ndo maana kazi kubwa ya mpumbavu ni kuwaelilisha wengine na pindi unapopingana nae lazima utakuwa adui na 1. Kwa mwelevu ukushaona una deal na mpumbavu ni vizuri kujiondoa amapema otherwise utaonekana pia mpumbavu kwa maana nyingine unakuwa huwezi kumtofautisha kati ya Professor na darasa la saba
 
JF bwana...kuna siku watu watazipa ngumi contribution ya mtu mbele ya computer zao wakasahau watasahau atakayepata hasara atakuwa ni yeye mwenyewe. teh teh teh... Eng. Y. Bihangaze umeamua kuanzisha uchokozi wewe,lol!
 
Ukiwa kiongozi, ukajifanya mwerevu Na kupuuza ushauri wa watu wako wenye hekima, Na kujifanya unajua kila kitu, Basi Hao washauri wazuri lazima wakukimbie Na utabaki unazungukwa Na washuri matakataka.. Na hata ukitaka ushauri kutoka Kwa wale uliowapuuza Mwanzo, kizuri watachokushauri ni UPUMBAVU Na Utajikuta unatenda UPUMBAVU..

Hata ukigoma kusikia SIKIA..

Si bora tu uwe wazi mpumbavu ni kale KAKIBABU KABACHELA
 
Mbona nawe umeleta upumbavu humu JF?

Mpumbavu wa kwanza ni Mwoga, dalili ya Mwoga ni kushambulia Hoja huku kaficha id yake. Si busara hata kidogo kumjibu mpumbavu aliyeficha I'd yake..

Mwachie Upumbavu wake..
 
Ukiwa kiongozi, ukajifanya mwerevu Na kupuuza ushauri wa watu wako wenye hekima, Na kujifanya unajua kila kitu, Basi Hao washauri wazuri lazima wakukimbie Na utabaki unazungukwa Na washuri matakataka.. Na hata ukitaka ushauri kutoka Kwa wale uliowapuuza Mwanzo, kizuri watachokushauri ni UPUMBAVU Na Utajikuta unatenda UPUMBAVU..

Hata ukigoma kusikia SIKIA..
Hii ni hekima ya ukweli kabisa, hata hivyo hujafikisha ujumbe kwa mtu/wat mwafaka na hautakuwa na matunda.
 
Mpumbavu wa kwanza ni Mwoga, dalili ya Mwoga ni kushambulia Hoja huku kaficha id yake. Si busara hata kidogo kumjibu mpumbavu aliyeficha I'd yake..

Mwachie Upumbavu wake..

Hivi wewe unaona huu uliouleta sio upumbavu? kwi kwi kwi teh teh teh!
 
MKUU ZOMBA HII KAZI ULIYOPEWA KUWA MAKINI NAYO, ASUBUHI HADI JIONI WEWE HUBANDUKI MTANDAONI??????!!!!! HATA ALIYEKUAJIRI ATASTUKA SASA KUWA UNAMWIBIA, KWAMBA UNAFANYA OVYO OVYO TU KUTIMIZA WAJIBU TU ULE FEDHA YAKE BILA KUFANIKISHA KUSUDIO LAKE. TULIA ,JIPANGE KISHA TAFUNA HIYO HELA YA HUYO DHAIFU KISAWASAWA, ALA! CHA KUPEWA SI CHA KUIBA BANA.:eek2:
 
Hii ni hekima ya ukweli kabisa, hata hivyo hujafikisha ujumbe kwa mtu/wat mwafaka na hautakuwa na matunda.

Wapo wapumbavu humu na hakika wataupata ujumbe! Utawatambua tu kwa post zao!
 
MKUU ZOMBA HII KAZI ULIYOPEWA KUWA MAKINI NAYO, ASUBUHI HADI JIONI WEWE HUBANDUKI MTANDAONI??????!!!!! HATA ALIYEKUAJIRI ATASTUKA SASA KUWA UNAMWIBIA, KWAMBA UNAFANYA OVYO OVYO TU KUTIMIZA WAJIBU TU ULE FEDHA YAKE BILA KUFANIKISHA KUSUDIO LAKE. TULIA ,JIPANGE KISHA TAFUNA HIYO HELA YA HUYO DHAIFU KISAWASAWA, ALA! CHA KUPEWA SI CHA KUIBA BANA.:eek2:

Si tuko pamoja, wewe muajiri wako vipi?
 
Mshkaji eeh, umenena vyema sana hayo ndo maneno mbadala kwa dunia ya sasa. Tupange lini tukutane tubadilishane mawazo katika kutatua upuuzi wa namna hii, africa sana corner bar siyo pabaya sana ila iwe mapema maana naishi mbagala usafiri wa tabu sana, au dar live unaweza kuja? Una akili sana engineer, big up
 
Back
Top Bottom